Mazingira FM

Recent posts

26 October 2023, 8:47 pm

RC Mtanda; Wanaotakiwa kumaliza mgogoro huu ni wananchi wenyewe

Mkuu wa mkoa wa Mara Mhe Saidi Mohamed Mtanda amewataka wananchi wa Vijiji vya Mekomariro kutoka Wilaya ya Bunda na Remong’orori kutoka Wilaya ya Serengeti kuhakikisha wanakaa na kutafuta suluhu ya mgogoro unaoendelea. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa mkoa wa…

23 October 2023, 9:18 am

UWT Bunda watembelea wagonjwa hospitali ya Manyamanyama

UWT Bunda watembelea hospitali ya Manyamanyama-Bunda kuonesha matendo ya huruma kwa wagonjwa katika kuadhimisha kilele cha wiki ya UWT Na Edward Lucas Maadhimisho ya wiki ya Wanawake UWT Wilaya ya Bunda mkoa wa Mara yamefikia kilele hapo jana 22 Oct…

22 October 2023, 11:01 pm

UWT Bunda: Wanawake tumejipa kazi nyingi, tumesahau malezi kwa watoto

“Akina mama tumejipa shughuli nyingi tumesahau wajibu wetu wa malezi, twende tuwalinde watoto” Na Edward Lucas Wanawake wameaswa kuzingatia malezi ya watoto ili kukabiliana na changamoto ya mmomonyoko wa maadili ndani ya jamii Wito huo umetolewa leo na Mjumbe Kamati…

22 October 2023, 7:22 am

NIDA Bunda: Zaidi ya vitambulisho elfu 50 vyapelekwa ofisi za kata

“Mbali na vitambulisho vilivyokuwepo awali, serikali imeleta tena vitambulisho vingine kwa wale waliojiandikisha hivi karibuni kwahiyo wananchi wafike ofisi za kata kuchukua vitambulisho vyao” Na Edward Lucas Wito umetolewa wananchi wilaya ya Bunda mkoani Mara kufika katika ofisi za kata…

21 October 2023, 6:47 pm

Wanahabari watakiwa kuripoti vitendo vya ukatili dhidi ya watoto

Wito umetolewa kwa waandishi habari kuripoti taarifa dhidi ya vitendo vya ukatili dhidi ya watoto na wanawake katika jamii. Na Fadhil Mramba Wito umetolewa kwa waandishi habari kuripoti taarifa dhidi ya vitendo vya ukatili dhidi ya watoto na wanawake katika…

20 October 2023, 10:36 pm

Kambarage awapiga jeki sekondari ya Sizaki

Kiasi Cha shilingi milioni 2 zimetolewa na Eng Kambarage Wasira Kwa ajili ya ukamilishaji wa choo shule ya Sekondari Sizaki. Na Adelinus Banenwa Kiasi cha shilingi milioni 2 zimetolewa na Injinia Kambarage Wasira kwa ajili ya ukamilishaji wa choo shule…

19 October 2023, 9:17 pm

Mabotto kuwasomesha wanafunzi watakaofaulu kwa daraja la kwanza

Mbunge Robert Maboto ameahidi kuwafadhili vifaa vya shule  wakati wa kujiunga na kidato cha Tano wanafunzi wote  shule ya Sekondari Wariku na Dr. Nchimbi watakaopata daraja la kwanza katika matokeo ya kidato cha nne kwenye  mtihani wa taifa unaotarajiwa kifanyika…

19 October 2023, 8:42 pm

Kulwa Kahabi : Nitatoa milioni 17 ujenzi jiko la kupikia

Zaidi ya shilingi milioni kumi na saba  zimeahidiwa  kutolewa na mdau wa maendeleo ambae pia ni mjumbe wa mkutano mkuu wa ccm taifa Kulwa Kahabi ili kusaidia ujenzi wa jiko la  kupikia chakula cha wanafunzi  katika shule ya sekondari Sazira…

18 October 2023, 12:18 pm

Walimu Nyaburundu watajwa kujiingiza kwenye siasa shuleni

Imeelezwa kuwa baadhi ya walimu wa shule ya Msingi Nyaburundu iliyopo kata ya Ketare halmashauri ya wilaya ya Bunda mkoani Mara wamejiingiza katika siasa na kusahau wajibu wao shuleni. Na Thomas Masalu Imeelezwa kuwa baadhi ya walimu wa shule ya…

17 October 2023, 11:05 am

Wanafunzi Esperanto sekondari sasa kusoma kidijitali

Shule ya sekondari Esperanto kufungiwa mfumo wa intarnet ili kusaidia ufundishaji na ujifunzaji kwa wanafunzi shuleni hapo. Na Avelina Sulus na Taro Michael Shule ya sekondari Esperanto kufungiwa mfumo wa intanet ili kusaidia ufundishaji na ujifunzaji kwa wanafunzi shuleni hapo.Hayo…