Mazingira FM

Recent posts

30 October 2024, 10:11 am

CCM Sazira B wamkataa aliyepitishwa, uchaguzi warudiwa

Wanachama wa CCM kata ya Sazira wachachamaa kuhusu mgombea wao kukatwa kisa hajui kusoma na kuandika wamkataa aliyepitishwa na halmashauri kuu ya wilaya. Na Adelinus Banenwa Wanachama wa chama cha mapinduzi mtaa wa Sazira B kata ya Sazira wamelazimika kurudia…

27 October 2024, 7:30 pm

Ajinyonga bafuni bila kuacha ujumbe

Kwa mujibu wa wanafamilia ni kuwa walipata chakula cha pamoja jana usiku bila tatizo lolote hadi pale asubuhi walipogundua baba yao amejinyonga huku bila kujua sababu hasa ya chanzo cha kujiua. Na Adelinus Banenwa Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la…

23 October 2024, 10:16 am

TCRA yahimiza kutumia mitandao kwa tija

Kampeni ya ‘NI RAHISI SANA’ inayofanywa na TCRA  inalengo la kuelimisha umma kuhusu fursa zilizopo kwenye mitandao Na Edward Lucas Watumiaji wa mitandao wamehimizwa kuitumia kwa tija ili kujipatia kipato na kuepuka matumizi ambayo hayana faida kwao. Wito huo umetolewa…

23 October 2024, 9:49 am

Nyasana wapata maji ya bomba, BUWSSA yawashukuru kwa ushirikiano

Wananchi wa mtaa wa nyasana wameipongeza mamlaka na serikali kwa ujumla kwa kuwakumbuka kuwafikishia huduma ya maji safi kwa kwa wametaabika kwa muda mrefu Na Adelinus Banenwa Mkurugenzi wa mamlaka ya maji na usafi wa mazingira Bunda BUWSSA Bi Esther…

22 October 2024, 2:12 pm

Serengeti yashinda tena hifadhi bora Africa

Hifadhi ya taifa ya Serengeti imeshinda kwa mara ya sita mfurulizo tuzo ya kuwa hifadhi bora barani afrika Na Adelinus Banenwa Hifadhi ya taifa ya Serengeti imeshinda kwa mara ya sita mfurulizo tuzo ya kuwa hifadhi bora barani afrika Akizungumza…

22 October 2024, 1:58 pm

TAWA yapongezwa mpango wa uvunaji wanyama wakali na waharibifu Bunda

Halmashauri ya wilaya ya Bunda kwa siku za hivi karibuni wamekuwa wakipokea matukio mengi ya wananchi kushambuliwa na kuharibiwa mazao yao na wanyama wakali na waharibifu ambao ni mamba na viboko. Na Adelinus Banenwa Wakazi wa kata Neruma na maeneo…

16 October 2024, 5:04 pm

Waliomaliza kulipwa Nyatwali wahimizwa kuondoka

Mkuu wa mkoa ametoa rai kwa wakazi wa Nyatwali ambao tayari wameshapokea hundi zao kuhakikisha wanafanya hima kuondoka katika maeneo hayo Na Adelinus Banenwa Imeelezwa kuwa serikali inakwenda kuhitimisha zoezi la ulipaji fidia kwa wakazi wote wa Nyatwali waliotathminiwa katika…

11 October 2024, 12:12 pm

225 kati ya 380 kuhitimu kidato cha nne Dkt Nchimbi sekondari

Jumla ya wanafunzi 225 wanatarajia kuhitimu kidato cha nne shule ya sekondari Dkt Nchimbi mwaka huu kati ya wanafunzi 380 walioanza kidato cha kwanza mwaka 2021. Kupitia risala yao iliyosomwa mbele ya mgeni rasmi katika mahafali ya 17 ya shule…

9 October 2024, 8:36 am

Zaidi ya milion 700 zatumika miradi ya maendeleo Sazira

Katika kipindi cha serikali ya awamu ya sita ya Rais Samia Suluhu Hassan miradi iliyotekelezwa ni pamoja na ujenzi wa zahanati mpya tatu, vyumba vya madarasa vya kutosha shule ya sekondari sazira, mradi wa maji wa Misisi Zanzibar pamoja na…

5 October 2024, 10:58 am

Maboto: Kuolewa kwa mtoto wa kike kwa sasa siyo dili waacheni wasome

Kipindi cha nyuma jamii nyingi za mkoa wa Mara hazikutoa kipaumbele kwa mtoto wa kike kwenda shule wakitegemea ataolewa. Na Adelinus Banenwa Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini Mhe Robert Chacha Maboto amewahimiza wazazi na walezi wilayani Bunda kuwasomesha watoto…