Recent posts
6 June 2024, 8:00 am
Grumet Fund watoa somo utunzaji wa mazingira
Mazingira yakitunzwa vizuri jamii itaepukana na majanga mbalimbali kama vile vimbunga, mafuriko, ukame wa muda mrefu magojwa ya kansa miongoni mwa majanga mengine. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa wananchi kutunza mazingira ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi.…
2 June 2024, 4:17 pm
Mhe Maboto akabidhi meza 107 na shilingi laki tano na nusu sekondari ya Nyamakok…
Mhe Maboto “ili sehemu iwe na maendeleo inahitaji viongozi waadilifu katika kusimamia miradi na fedha zinazoletwa kwenye maeneo yao.” Na Adelinus Banenwa Mbunge wa jimbo la Bunda mjini mhe Robert Chacha Maboto amekabidhi meza 107 za wanafunzi shule ya sekondari…
2 June 2024, 3:39 pm
Vijana watakiwa kujitambua na kuachana na tabia zisizofaa
Vijana watakiwa kujitambua na kuachana na tabia zisizofaa kwa kuwa wao ndiyo nguzo ya familia na jamii Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa vijana kujitambua kuwa wao ndiyo nguvu ya familia na jamii hivyo hawana budi kuachana na makundi yasiyofaa…
30 May 2024, 8:26 pm
Miaka 30 jela na viboko 6 kwa kosa la ubakaji
Mahakama yamuhukumu mshtakiwa miaka 30 jela kwa ubakaji, miaka 5 kwa kosa la kupoka, kulipa fidia ya milioni moja kwa mtuhumiwa na pia kuchapwa viboko 6. Na Adelinus Banenwa Mahakama ya wilaya ya Butiama imemuhukumu kifungo cha miaka 30 jela…
30 May 2024, 2:01 pm
Million 15 zatengeneza madawati Bunda mjini
Fedha za mfuko wa jimbo la Bunda mjini ni kiasi cha shilingi milioni 58.7 za mwaka 2023 na 2024 zimetumika kwa kiasi kikubwa kutengeneza madawati. na Adelinus Banenwa Zaidi ya million 15 za mfuko wa jimbo mwaka 2023 na 2024…
29 May 2024, 6:51 pm
NMB yatoa msaada wa dawati 100 shule ya msingi Bigutu
“wanafunzi hakikisheni mnayalina na kuyatunza madawati pia walimu hakikisheni mnayakarabati madawati yaliyoharibika” DC Naano Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Dkt Vicent Naano ameishukuru bank ya NMB kwa kutoa msaada wa madawati shule ya msingi Bigutu huku…
29 May 2024, 6:37 pm
Mbunge Agness Marwa ampongeza Rais Samia kwa miradi ya maendeleo Bunda
Tuna kila sababu ya kumshukuru Rais Dr Samia kwa kuleta fedha nyingi kwa ajili ya miradi ya maendeleo kwa wananchi wilayani Bunda hasa kata ya Bunda stoo Na Adelinus Banenwa Mbunge wa viti maalum mkoa wa Mara mhe Agness Mathew…
29 May 2024, 6:25 pm
“Ukosefu wa chakula shuleni chanzoa wanafunzi kufanya vibaya kitaalumaR…
Imetajwa kuwa chakula shuleni ni muhimu ili kuongeza hali ya mwanafunzi kufanya vizuri kitaaluma. Na Adelinus Banenwa Suala la ukosefu wa chakula mashuleni, walimu kutotimiza majukumu yao pamoja na ushilikiano kati ya wazazi na walimu imetajwa kama chanzo cha kushuka…
29 May 2024, 6:15 pm
Halmashauri ya Bunda DC wapongezwa utekelezaji wa miradi
halmashauri ya wilaya ya bunda yapewa kongole na mkuu wa wilaya kuhusu kusanyaji wa mapato Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Dkt Vicent Naano ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Bunda kwa utekelezaji wa miradi kwa ufanisi. Mhe Naano…
25 May 2024, 7:22 pm
Aliyekutwa anajisomea kwa mwanga wa taa za barabarani apewa zawadi
Aliyekutwa akijisomea na kuandika notes kwa kutumia mwanga wa taa za barabarani huku akiuza karanga na miwa mjini Bunda usiku apewa zawadi na mkuu wa wilaya kama motisha. Furaha Hamis mwanafunzi wa shule ya sekondari Nyamakokoto aliyekutwa akijisomea chini ya…