Mazingira FM

Recent posts

3 July 2024, 8:56 pm

Mbunge Bulaya ampongeza mkurugenzi BUWSSA Giryoma

Mbunge bulaya aipongeza BUWSSA kwa kazi nzuri ya usambazaji maji na usimamizi wa miradi Bunda ampongeza mkurugenzi wa BUWSSA kwa utendaji kazi Na Adelinus Banenwa Mbunge wa viti maalum Esther Bulaya ampongeza  mkurugenzi wa BUWSSA Bi Esther Giryoma kwa utendaji…

3 July 2024, 8:10 pm

“Usitoe namba yako ya siri ya tigo pesa kwa yeyote”

“Usitoe namba yako ya siri ya tigo pesa kwa mtu yeyote hata kwa vijana wetu wa tigo hata kama ana tisheti au kitambulisho“. Na Adelinus Banenwa Tahadhari imetolewa kwa wananchi kutokutoa namba zao za siri za mitandao ya simu kwa…

3 July 2024, 3:09 pm

Mitambo: Si kila mwenye cheti cha udereva ni dereva

Kuwa na cheti cha udereva kutoka veta au shule ya udereva siyo kigezo cha kuwa dereva Na adelinus Banenwa Imeelezwa kuwa si kila mwenye cheti cha kuhitimu mafunzo ya udereva kutoka chuo cha VETA au shule yoyote ya udereva anakuwa…

3 July 2024, 2:34 pm

Kukosa choo bora mjini faini laki 5 na kifungo miezi mitatu

Usipokuwa na choo bora na unaishi mjini basi faini yake ni laki tano au kwenda jela miezi mitatu au vyote kwa pamoja Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa wakazi wa waoishi maeneo yote ya mjini na karibu na vyanzo vya…

3 July 2024, 12:38 pm

Waganga tiba asili Bunda walaani mauaji ya watu wenye ualbino

Waganga wa tiba asili na tiba mbadala Bunda wamelaani mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi na mauaji mengine yenye imani za kishirikina, wakisema wanaofanya hivyo siyo waganga wa tiba asili bali ni waganga wa kienyeji. Na Adelinus Banenwa Chama…

27 June 2024, 12:47 pm

Siku 7 zatolewa Bunda TC na Bunda DC kugawana mali na madeni

Siku saba zatolewa kwa halamshauri za Bunda kugawana mali na madeni. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa mkoa wa Mara Kanal Evans Mtambi ametoa siku saba 7 kwa Halmashauri ya wilaya ya Bunda na halmashauri ya mji wa Bunda kugawana mali…

27 June 2024, 12:35 pm

Bunda DC yapongezwa kwa kupata hati safi 2022/2023

Mkuu wa mkoa aipongeza Bunda DC kwa kupata hati safi ya ukaguzi aielekeza menejimenti kufanyia kazi hoja za ukaguzi. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa mkoa wa Mara Kanal Evans Mtambi ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Bunda kwa kupata hati safi…

Ifahamu Mazingira FM

Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.


Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.

Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.

Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com