Mazingira FM

Recent posts

2 June 2024, 3:39 pm

Vijana watakiwa kujitambua na kuachana na tabia zisizofaa

Vijana watakiwa kujitambua na kuachana na tabia zisizofaa kwa kuwa wao ndiyo nguzo ya familia na jamii Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa vijana kujitambua kuwa wao ndiyo nguvu ya familia na jamii hivyo hawana budi kuachana na makundi yasiyofaa…

30 May 2024, 8:26 pm

Miaka 30 jela na viboko 6 kwa kosa la ubakaji

Mahakama yamuhukumu mshtakiwa miaka 30 jela kwa ubakaji, miaka 5 kwa kosa la kupoka, kulipa fidia ya milioni moja kwa mtuhumiwa na pia kuchapwa viboko 6. Na Adelinus Banenwa Mahakama ya wilaya ya Butiama imemuhukumu kifungo cha miaka 30 jela…

30 May 2024, 2:01 pm

Million 15 zatengeneza madawati Bunda mjini

Fedha za mfuko wa jimbo la Bunda mjini ni kiasi cha shilingi milioni 58.7 za mwaka 2023 na 2024 zimetumika kwa kiasi kikubwa kutengeneza madawati. na Adelinus Banenwa Zaidi ya million 15 za mfuko wa jimbo mwaka 2023 na 2024…

29 May 2024, 6:51 pm

NMB yatoa msaada wa dawati 100 shule ya msingi Bigutu

“wanafunzi hakikisheni mnayalina na kuyatunza madawati pia walimu hakikisheni mnayakarabati madawati yaliyoharibika” DC Naano Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Dkt Vicent Naano ameishukuru bank ya NMB kwa kutoa msaada wa madawati shule ya msingi Bigutu huku…

29 May 2024, 6:15 pm

Halmashauri ya Bunda DC wapongezwa utekelezaji wa miradi

halmashauri ya wilaya ya bunda yapewa kongole na mkuu wa wilaya kuhusu kusanyaji wa mapato Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Dkt Vicent Naano ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Bunda kwa utekelezaji wa miradi kwa ufanisi. Mhe Naano…

25 May 2024, 7:22 pm

Aliyekutwa anajisomea kwa mwanga wa taa za barabarani apewa zawadi

Aliyekutwa akijisomea na kuandika notes kwa kutumia mwanga wa taa za barabarani huku akiuza karanga na miwa mjini Bunda usiku apewa zawadi na mkuu wa wilaya kama motisha. Furaha Hamis mwanafunzi wa shule ya sekondari Nyamakokoto  aliyekutwa akijisomea chini ya…

24 May 2024, 12:38 pm

BUWSSA: Mchakato wa kupeleka maji Nyasana umekamilika

Wananchi watakiwa kushiriki kwenye miradi ya maendeleo inayokuja kwenye maeneo yao. Na Mariam Mramba Wananchi wa mtaa wa Nyasana kata ya Kabasa katika halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara wamesema wapo tayari kujitolea nguvu kazi zao kwa kushirikiana na…