Mazingira FM
Mazingira FM
29 September 2025, 4:34 pm

Katika mjadala tumechambua changamoto, mitazamo ya kijamii na nafasi halisi, tukitazama namna jamii inavyoweza kuunga mkono usawa wa kijinsia kwenye uongozi.
Na Dina Shambe na Edward Lucas
Hili ndilo swali tulilojadili katika kipindi cha ijumaa kilichowakutanisha chifu wa sizaki, mchungaji wa kanisa, mwanamke kiongozi wa kisiasa,mwanaharakati wa haki za wanawake pamoja na msikilizaji aliyetoa maoni yake moja kwa moja hewani
Katika mjadala huu wa dakika 30 tumechambua changamoto,mitazamo ya kijamii na nafasi halisi ,huku tukitazama namna jamii inavyoweza kuunga mkono usawa wa kijinsia kwenye kuwania nafasi za uongozi