Mazingira FM
Mwananchi akamatwa kwa kusafirisha Kobe 438 Simiyu
2 April 2021, 4:42 pm
- Jeshi la Polisi linamshikilia Mkazi wa Bunda Mkoani Mara kwa kukutwa akisafirisha Kobe 438 kwenye mabegi matatu bila ya vibali
- Kobe hao wana thamani ya Shilingi Milioni 71.