Mazingira FM

Recent posts

26 July 2022, 8:17 pm

Ally Hapi: Nidhamu ipewe kipaumbele kwenye zoezi la sensa.

Wakufunzi wa Sensa ngazi ya mkoa wa Mara wametakiwa kwenda kusisitiza suala la nidhamu kwa makarani watakaosimamia zoezi hilo.   Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa Mara,Ally Hapi,wakati akifunga mafunzo ya siku 21 kwa wakufunzi 296 wa ngazi…

19 July 2022, 1:03 pm

Bunda: Wawili wanusurika kifo baada ya nyumba kuwaka moto usiku

Watu wawili wanusurika kifo kwa kuungua moto wa maajabu uliotokea usiku saa 8 wakiwa wamelala. Tukio hilo la aina yake limetokea usiku wa kuamkia  July 18, 2022 katika mtaa wa Majengo Mapya kata ya Nyamakokoto Halmashauri ya mji wa Bunda…

22 June 2022, 7:47 am

Hapi: awaomba wazee Mara kusaidia kuondoa ubinafsi kwenye jamii

  Mkuu wa Mkoa wa Mara amewaomba wazee wa mkoa huo kusaidia kukemea ubinafsi ambao unapelekea kuwepo hali duni za maendeleo unasababishwa na baadhi ya wananchi na viongozi kukwamisha baadhi ya miradi inayoletwa na Serikali. Kauli hiyo ametoa wakati akizungumza…

Ifahamu Mazingira FM

Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.


Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.

Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.

Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com