Mazingira FM

Recent posts

14 October 2022, 5:04 pm

DAS Bunda, marufuku uongozi wa machinga kutoza faini

Katibu Tawala Wilaya ya Bunda Moani Mara, Salumu Mtelela amepiga marufuku umoja wa Machinga kutoza faini wala kutoza ushuru katika masuala yanayohusu usafi wa Mazingira. Kauli hiyo ya Mtelela imekuja baada ya kupokea kero na malalamiko mbalimbali ya wafanyabiashara na…

25 September 2022, 8:58 pm

Wangonjwa 90 wa macho wafanyiwa upasuaji kwenye kambi ya matibabu

Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Joshua Nassar amezindua kambi ya matibabu kwa wangojwa katika hospitali ya wilaya ya Bunda Manyamanyama inayodhaminiwa na kamati ya kukuza na kuendeleza uislamu Tanzania   Akizungummza katika uzinduzi huo mhe mkuu wa wilaya ameishukuru…

Ifahamu Mazingira FM

Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.


Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.

Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.

Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com