Mazingira FM

Recent posts

2 September 2022, 9:07 am

Bunda: bodaboda auawa kwa kukatwa shingo wezi waondoka na pikipiki

  Mtu mmoja ambaye ni dereva bodaboda aliyetambulika kwa jina la ISSA SAGUDA (22) mkazi wa Rubana kata ya Balili, Halmashauri ya Mji wa Bunda mkoani Mara amekutwa amepoteza Maisha kwa kukatwa na kitu Chenye Ncha Kali shingoni na tumboni…

24 August 2022, 8:40 pm

Bunda: wananchi waonywa uhujumu wa miondombinu ya maji

Mkurugenzi mtendaji wa mamlaka ya maji Bunda eng maisha amewataka wakazi wa Mji wa Bunda kuacha kuhujumu miundombinu ya maji ili kuebusha hasara kwa mamlaka na serikali   Akizungumza na redio Mazingira Fm ofisini kwake eng maisha amesema matukio ya…

23 August 2022, 7:32 am

Mbunge Maboto: Awahimiza Bunda Mjini kushiriki Sensa kikamilifu

Mbunge Jimbo la bunda Mjini Mhe Robert Chacha Maboto amewahimiza wakazi wa Jimbo la Bunda Mjini kushiriki Sensa ya watu na makazi kikamilifu Akizungumza na redio Mazingira Fm Mhe Maboto amesema lengo kuu la sensa ya watu na makazi ni…

26 July 2022, 8:17 pm

Ally Hapi: Nidhamu ipewe kipaumbele kwenye zoezi la sensa.

Wakufunzi wa Sensa ngazi ya mkoa wa Mara wametakiwa kwenda kusisitiza suala la nidhamu kwa makarani watakaosimamia zoezi hilo.   Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa Mara,Ally Hapi,wakati akifunga mafunzo ya siku 21 kwa wakufunzi 296 wa ngazi…

19 July 2022, 1:03 pm

Bunda: Wawili wanusurika kifo baada ya nyumba kuwaka moto usiku

Watu wawili wanusurika kifo kwa kuungua moto wa maajabu uliotokea usiku saa 8 wakiwa wamelala. Tukio hilo la aina yake limetokea usiku wa kuamkia  July 18, 2022 katika mtaa wa Majengo Mapya kata ya Nyamakokoto Halmashauri ya mji wa Bunda…