Recent posts
25 January 2023, 7:49 am
BUWASA; wanaojiunganishia maji Bunda kukiona.
Mamlaka ya maji na usafi wa mazingira Bunda imewaonya wananchi wanaojiunganishia maji kinyemela bila taarifa ya mamlaka kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao pindi watakapobainika Hayo yamesemwa na Moyo Faya kutoka Mamlaka ya maji Bunda wakati wa ukaguzi…
23 January 2023, 4:30 pm
Mkurugenzi Mazingira FM akabidhi msaada kwa mtoto mwenye ulemavu
Mkurugenzi wa radio Mazingira Fm ambaye pia ni Diwani wa kata ya Ketale Mhe Mramba Simba Nyamkinda amemkabidhi baiskeli ya magurudumu mawili kwa bi Ferda Wanjara mkazi wa kata ya Nyasura ambaye ni mama mzazi wa mtoto Elizabeth John mwenye…
22 January 2023, 9:10 pm
MCH MOTOMOTO, Wasaidieni Yatima maana hujui kesho watakuwa nani.
Wito umetolewa kwenye jamii kuwahudumia watoto yatima na wanaoishi katika Mazingira magumu kwa kuwa hawakutaka kuwa hivyo Hayo yamesemwa na Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini Mhe Robert Chacha Maboto wakati wa harambee ya kutafuta fedha ya ununuzi wa kiwanja…
19 January 2023, 7:08 am
Kamati ya siasa CCM Bunda imeielekeza serikali wilayani Bunda kutatua changamoto…
Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Bunda ikiongozwa na mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Bunda Ndugu Ibrahim Magesse Mayaya imefanya ziara ya ukaguzi wa utekelezaji wa ilani ya Cha hicho ndani ya Jimbo la Bunda Mjini.…
18 January 2023, 8:01 am
DAS BUNDA: kiongozi wa AMCOS atakayekiuka kiapo chake sheria itachukua mkondo wa…
Katibu tawala wilaya ya bunda mhe Salum Halfan Mterela amewataka AMCOS wilayani Bunda kuzingatia uadilifu na maadili katika kazi yao ili kulinda viapo vyao. Hayo ameyasema wakati wa uapisho wa viongozi wa AMCOS wilaya ya Bunda ambapo…
15 January 2023, 5:53 pm
Mbunge wa Bunda Mjini Mhe Robert : apokea kero kutoka kwenye kata 14 za Bunda Mj…
Mbunge Wa Jimbo La Bunda Mjini Mhe. Chacha Robart Maboto amefanya Mkutano Na Viongozi Wa Chama Cha Mapinduzi Wenyeviti Wa Kata,Makatibu Kata, Wenezi Kata Pamoja Na Madiwani Viti Maalum Kupitia Kata Zote 14 Zinazounda Jimbo La Bunda Mjini. Mkutano Huo…
15 January 2023, 5:32 pm
Mbunge Getere; awapongeza Nyaburundu kujenga shule ya Sekomdari
Mbunge wa jimbo la Bunda mh. Bonphace Mwita Getere amewapongeza wanakijiji cha Nyaburundu kata ya Ketare kwa nia njema waliyoonesha ya kujega Shule ya Sekondari katika kijiji hicho. Mh. Getere ameyasema hayo katika ziara yake jimboni wakati akiongea na wananchi…
11 January 2023, 7:01 pm
Rc Meja Jenerali Suleiman Mzee; mkoa wa Mara unafulsa nyingi JWTZ njoo muwekeze…
Mkuu wa mkoa wa mara, meja jenerali suleiman mzee ameliomba jeshi la wananchi tanzania kuchangamkia fursa mbalimbali za kiuchumi zilizomo mkoani humo ikiwemo kilimo cha umwagiliaji. Meja jenerali ametoa ombi hilo wakati wa mapokezi ya mkuu wa majeshi, jenerali…
10 January 2023, 5:10 pm
Mbunge Mabotto; Atoa zaidi ya milion 6 kuwasaidia wanafunzi wasiyojiweza jimbo…
Zaidi ya shilingi million 4 laki 1 na 35 elfu zimetolewa na mbunge wa jimbo la Bunda Mjini Mhe Robert Chacha Mabotto kwa wanafunzi 64 kwa ajili ya mahitaji yao ya shule. Akizungumza kwa niaba ya mbunge wakati wa…
9 January 2023, 9:43 pm
Malibwa, Wazazi na walezi watakaoshindwa kupeleka watoto wao shule kukamatwa
Wazazi na walezi kata ya Nyamakokoto katika Halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara wametakiwa kuwapeleka watoto wao shule na ambao hawatafanya hivyo watakamatwa. Hayo yamebainishwa leo na Diwani wa kata ya Nyamakokoto Mhe, Emmanuel Malibwa wakati akizungumza na…