Mazingira FM

Recent posts

21 April 2023, 7:20 am

Bunda: Wanafunzi watembea kilometa 16 hadi 20 kwa siku kufuata huduma ya elimu

Wakazi wa Kijiji Cha Nyaburundu katika Kata ya Ketare Halmashauri ya wilaya ya Bunda wameiomba serikali kuwakubalia kujenga shule ya secondary katika eneo walilolipendekeza kutokana na changamoto wanazokutana nazo watoto wao wanaokwenda kusoma shule ya Kijiji Jiran. Wakizungumza katika kikao…

10 April 2023, 8:11 am

Mashindano ya Taifa ya mpira wa mikono yafanyika Bunda Mji

Kwa mara ya pili mfululizo mashindano ya mpira wa mikono (handball) Taifa yanafanyika katika ardhi ya Halmashauri ya Mji wa Bunda. Mashindano haya yalianza siku ya Jumatano tarehe 04.04.2023 na kuzinduliwa na mdau mkubwa wa michezo Ndg. Kambarage Wasira katika…

31 March 2023, 3:24 pm

Tanzia

TANZIA!!! Uongozi wa Radio Mazingira Fm kwa masikitiko makubwa unatangaza kifo cha mfanyakazi wao Bi.Magreth Samson Misinzo (aliyekuwa mhasibu katika kituo Cha Radio Mazingira) kilichotokea jana tarehe 30 March 2023 saa 11 jioni. Tunamtukuza Mungu kwa maisha ya Magreth na…