Mazingira FM

Recent posts

16 July 2023, 3:14 pm

BAVICHA kuadhimisha siku ya vijana duniani mkoani Mwanza

BAVICHA maadhimisho ya siku ya vijana Duniani yatafanyiaka Mwanza kauli mbiu kijana ijue na itambue nguvu yako, lengo ni kuwakutanisha vijana na badarishana mawaza ya fursa zilizopo. Na Adelinus Banenwa Baraza la vijana  chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA wanatarajia…

16 July 2023, 12:28 pm

Masaburi: urasimu chanzo kusitishwa mikopo ya halmashauri

Urasimu chanzo cha kusitishwa kwa mikopo ya asilimia kumi kutoka mapato ya ndani ya halmashauri ambapo serikali inaandaa mfumo mwwingine ambao makundi ya akina mama vija na wenye ulemavu watatumia kupata fedha hizo. Na Adelinus Banenwa Imeelezwa kuwa serikali imeamua…

15 July 2023, 8:47 pm

Masaburi, vijana changamkia fursa

Ili kuhakikisha vijana wanaendelea kujikwamua kimaisha wametakiwa kuchanagmkia fursa zinazotolewa na serikali ikiwa ni pamoja na kuomba mikopo ya asilimia kumi kutoka halmashauri. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa vijana mkoani Mara kuchangamkia fursa zinazotolewa na serikali ili kujikwamua kimaisha…

13 July 2023, 9:49 am

Mwenge wa uhuru wateketeza zana haramu za uvuvi Bunda

Mbio za mwenge wa uhuru kitaifa mwaka 2023 katika halmashauri ya wilaya Bunda imetembelewa miradi 7 ambapo miongoni mwa shughuli zilizofanyika ni uteketezaji wa zana haramu za uvuvi ikiwa ni jitihada za kulinda na kutunza mazingira. Na Thomas Masalu Kiongozi…

12 July 2023, 3:07 pm

Mwenge wazindua madarasa tisa Chitengule sekondari

Mbio za mwenge kitaifa bado zinaendelea mkoani mara leo mbio hizo zipo halmashauri ya wilaya ya Bunda ambapo miradi takribani 7 imetembelewa katika hatua za uwekaji wa jiwe la msingi na mingine kuzinduliwa. Na Thomas Masalu Mwenge wa uhuru 2023…

11 July 2023, 10:54 am

Mwl. James: waibueni watoto wenye mahitaji maalumu fulsa zipo

Wananchi watakiwa kutowaficha watoto wenye mahitaji maalumu kwa kuwa sasa serikali inatoa nafasi kubwa kwao katika sekta ya elimu Na Adelinus Banenwa Wito umetokewa kwa jamii wazazi na walezi mjini Bunda kuwaibua watoto wenye mahitaji maalumu Ili waweze kupata elimu…

8 July 2023, 1:10 pm

Mazingira fm waipa tano TADIO kwa mafunzo

Mtandao wa redio za kijamii Tanzania TADIO waendelea kuwajengea uwezo waandishi wa habari kutoka redio za kijamii namna ya kutumia mitandao ili iwe fursa kwao. Na Catherine Msafiri na Avelina Sulusi Wito umetolewa kwa viongozi wa redio za kijamii kusimamia…

7 July 2023, 6:01 pm

CWT Bahi ahadi kibao baada ya safari ya Serengeti

Ni msafara wa walimu 42 kutoka halmashauri ya Bahi mkoani Dodoma kwenda kutalii katika hifadhi  ya taifa ya Serengeti baada ya Halmashauri hiyo kushika nafasi ya kumi kitaifa katika matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2023 ambapo safari hiyo…