Mazingira FM

Recent posts

27 June 2024, 12:47 pm

Siku 7 zatolewa Bunda TC na Bunda DC kugawana mali na madeni

Siku saba zatolewa kwa halamshauri za Bunda kugawana mali na madeni. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa mkoa wa Mara Kanal Evans Mtambi ametoa siku saba 7 kwa Halmashauri ya wilaya ya Bunda na halmashauri ya mji wa Bunda kugawana mali…

27 June 2024, 12:35 pm

Bunda DC yapongezwa kwa kupata hati safi 2022/2023

Mkuu wa mkoa aipongeza Bunda DC kwa kupata hati safi ya ukaguzi aielekeza menejimenti kufanyia kazi hoja za ukaguzi. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa mkoa wa Mara Kanal Evans Mtambi ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Bunda kwa kupata hati safi…

21 June 2024, 2:47 pm

Bunda Stoo sasa wapata soko lao

“Tumekuwa tukipata tabu sana kutembea umbali mrefu kufuata mboga sokoni hadi manjebe zaidi ya kilometa saba sasa uwepo wa soko hapa ni mkombozi kwetu” wakazi wa Bunda stoo. Na Adelinus Banenwa Wakazi wa kata ya Bunda stoo waishukuru serikalai kwa…

21 June 2024, 2:14 pm

Walimu watakiwa kutojiona wanyonge serikali inatambua mchango wao

Walimu msijione wanyonge kazi yenu serikali inaitambua hivyo timizeni wajibu wenu pia fanyeni kazi acheni mazoea hakuna mwanafunzi mjinga wala dhana ya shule ya serkali haifaulishi. Na Adelinus Banenwa Naibu katibu mkuu wizara ya Rais TAMISEMI anayeshughurikia upande wa elimu …

21 June 2024, 1:56 pm

Zaidi ya milion 230 zatolewa kuwakwamua wanawake kiuchumi

Wanawake watakiwa kujiunga kwenye vikundi vya ujasiriamali ili viwasaidie kupata mikopo na kujikwamua kimaisha. Na Mariam Mramba Jumla ya wanawake 263 kutoka kijiji cha Magunga kata ya Mirwa wilayan Butiama wamenufaika na mkopo wa shilingi (232, 470,000) million mia mbili…

21 June 2024, 1:19 pm

Wazazi watakiwa kuzingatia lishe kwa watoto

Wito umetolewa kwa wazazi na walezi kuzingatia lishe bora kwa watoto chini ya miaka mitano ili kuwa na watoto wenye afya bora Na Catherine Msafiri Wazazi na walezi wameaswa kuhakikisha wanazingatia lishe bora kwa watoto wao hasa wa mwaka 0…

19 June 2024, 6:01 pm

DC Naano atoa siku 11 wakandarasi kumaliza barabara Bunda

Mkuu wa wilaya ya Bunda atoa siku 11 kwa wakandarasi wanaolima barabara Bunda mjini wawe wamemaliza asema kwa sasa hakuna kisingizio cha mvua. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Dkt Vicent Anney Naano ametoa siku 11 kwa wakandarasi…

Ifahamu Mazingira FM

Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.


Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.

Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.

Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com