Mazingira FM
Mazingira FM
12 July 2024, 12:16 pm
Mbunge wa jimbo la Bunda mjini Mhe Robert Chacha Maboto amewataka wananchi kuchagua viongozi waadilifu katika uchaguzi wa serikali za mitaa ambao watakaowaletea Maendeleo Na Adelinus Banenwa Mbunge wa jimbo la Bunda mjini Mhe Robert Chacha Maboto amewataka wananchi kuchagua…
7 July 2024, 5:56 pm
“Niko tayari kutetea nafasi yangu kwa kuwa kazi nilizozifanya ndani ya kipindi cha miaka mitano zinaonekana“ Na Adelinus Banenwa Mwenyekiti wa Idara ya maji kata ya Bunda stoo halmashauri ya mji wa Bunda Ndugu Mtaki Bwire Ndama amesema atatetea nafasi…
7 July 2024, 4:08 pm
Katika kipindi cha miaka mitatu serikali ya awamu ya sita imefanya mengi katika sekta ya mifugo ikiwemo ujenzi wa majosho, kuongeza bajeti ya wizara, ununuzi wa pembejeo za mifugo, uchimbaji wa mabwawa ya mifugo n.k. Na Adelinus Banenwa Imeelezwa kuwa…
4 July 2024, 7:31 am
Mhe Esther Bulaya amvaa Mchungaji Msigwa asema kilichomfanya kuhama ni hasira za kushindwa uchaguzi wa kanda ya Nyasa. Na Adelinus Banenwa Mbunge wa Viti maalumu CHADEMA Mhe Esther Amos Bulaya amesema Mchungaji Msigwa hakufanya vyema kuiponda CHADEMA baada ya kuhamia…
3 July 2024, 9:18 pm
“Haiwezekani watu kutaabika kwa miaka miwili baada ya tathmini hawajalipwa lakini tathmini yenyewe kidogo shilingi 490 kwa mita ya mraba hapana lazima sisi kama viongozi tulisimamie hili” Esther Bulaya. Na Adelinus Banenwa Akizungumzia suala la Nyatwali Bunge wa viti maalumu…
3 July 2024, 8:56 pm
Mbunge bulaya aipongeza BUWSSA kwa kazi nzuri ya usambazaji maji na usimamizi wa miradi Bunda ampongeza mkurugenzi wa BUWSSA kwa utendaji kazi Na Adelinus Banenwa Mbunge wa viti maalum Esther Bulaya ampongeza mkurugenzi wa BUWSSA Bi Esther Giryoma kwa utendaji…
3 July 2024, 8:10 pm
“Usitoe namba yako ya siri ya tigo pesa kwa mtu yeyote hata kwa vijana wetu wa tigo hata kama ana tisheti au kitambulisho“. Na Adelinus Banenwa Tahadhari imetolewa kwa wananchi kutokutoa namba zao za siri za mitandao ya simu kwa…
3 July 2024, 3:09 pm
Kuwa na cheti cha udereva kutoka veta au shule ya udereva siyo kigezo cha kuwa dereva Na adelinus Banenwa Imeelezwa kuwa si kila mwenye cheti cha kuhitimu mafunzo ya udereva kutoka chuo cha VETA au shule yoyote ya udereva anakuwa…
3 July 2024, 2:34 pm
Usipokuwa na choo bora na unaishi mjini basi faini yake ni laki tano au kwenda jela miezi mitatu au vyote kwa pamoja Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa wakazi wa waoishi maeneo yote ya mjini na karibu na vyanzo vya…
3 July 2024, 12:38 pm
Waganga wa tiba asili na tiba mbadala Bunda wamelaani mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi na mauaji mengine yenye imani za kishirikina, wakisema wanaofanya hivyo siyo waganga wa tiba asili bali ni waganga wa kienyeji. Na Adelinus Banenwa Chama…
Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.
Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.
Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.
Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com