Mazingira FM

Recent posts

14 September 2023, 8:02 am

Serengeti: Aliwa na Mamba wakati akivuka Mto Mara kwenda Shambani

Kufuatia tukio la mwananchi kukamatwa na kuliwa na mamba, Mkuu wa mkoa wa Mara awasisitiza wananchi kutofanya shughuli zao ndani ya hifadhi ya mto Mara Na Edward Lucas Mkuu wa mkoa wa Mara, Said Mtanda amewasisitiza wananchi kutofanya shughuli zao…

13 September 2023, 11:59 pm

Maadhimisho ya 12 ya Mto Mara yazinduliwa rasmi leo

Mamlaka za serikali na wadau wengine wa Mazingira wametakiwa kudhibiti matumizi ya maji yasiyoendelevu na kudhibiti vyanzo vya maji ili kuulinda Mto Mara Na Edward Lucas Maadhimisho ya 12 ya siku ya Mto Mara yamezinduliwa rasmi leo katika Viwanja vya…

13 September 2023, 6:05 pm

Mtanda awapongeza WWF kwa uhifadhi Mto Mara

Na Edward Lucas Mkuu wa mkoa wa Mara, Said Mtanda amelipongeza Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira WWF na wadau wengine katika juhudi wanazozifanya katika kuulinda Mto Mara Mtanda ametoa kauli hiyo leo wakati wa zoezi la upandaji wa…

13 September 2023, 4:35 pm

Mtanda atoa maagizo kwa viongozi wa Serengeti na Tarime

Viongozi wa Wilaya ya Serengeti na Tarime wasimamie sheria zilizowekwa ili kulinda vyanzo vya maji ya Mto Mara Na Edward Lucas Mkuu wa Mkoa wa Mara, Said Mtanda amewaagiza viongozi wa Wilaya ya Serengeti na Tarime kukaa pamoja na kusimamia…

12 September 2023, 5:10 pm

WWF: Mto Mara ulindwe na utunzwe

Kupitia Maadhimisho ya 12 ya siku ya Mto Mara, Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira WWF limeeleza mikakati linayoifanya kuulinda Mto Mara. Na Edward Lucas Wananchi mkoani Mara wametakiwa kuendelea kutunza rasilimali ya Mto Mara ili kuifanya kuwa endelevu.…

11 September 2023, 5:25 pm

BUWSSA: Wizi wa maji Bunda haukubaliki

Tatizo la wizi wa maji ndani ya mji wa Bunda lipo na wanaendelea kukamata watu wote wanaojihusisha na wizi huo pia mamlaka haipendezwi na tabia hizo. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa wananchi wilayani Bunda mkoani Mara kuacha tabia ya…

8 September 2023, 1:33 pm

Ukosefu wa eneo la wazi chanzo cha ukosefu miradi Kata ya Bunda mjini

Mhe Mzamili diwani wa kata ya Bunda Mjini amesema kata ya Bunda Mjini ina eneo Moja tu la wazi la miti mirefu linalipatikana mtaa wa Mapinduzi ambalo kisheria haliruhusiwi kubadirishiwa matumizi Na Adelinus Banenwa Imeelezwa kuwa ukosefu wa maeneo katika…

6 September 2023, 1:26 pm

Kesi yatajwa kuchelewesha wakazi wa Nyatwali kuhama

Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Dkt Vincent Naano amesema mchakato wa kuwaamisha wakazi wa Nyatwali huwenda ukakamilika mwishoni mwa mwezi wa tisa. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Dkt Vincent Naano amesema mchakato wa kuwaamisha wakazi…