Recent posts
17 October 2023, 8:51 am
Mlida: Aainisha mipaka kuondoa migogoro wahifadhi na wafugaji
Mwenyekiti wa chama cha wafugaji Tanzania na mjumbe wa bodi ya wakurugenzi shirika la NARCO Mhe Mlida Mshota ameziomba mamlaka kuainisha mipaka baina ya hifadhi na maeneo ya wafugaji ili kuepusha migogoro baina yao na wafugaji. Na Adelinus Banenwa Mwenyekiti…
14 October 2023, 7:26 pm
Keraryo aikumbuka shule aliyosoma, atoa vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni…
Vifaa vya shule vyenye thamani ya shilingi milioni 6 vimetolewa shule ya msingi Nyerere iliyopo kata ya Balili halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara na mwanafunzi aliyehitimu shuleni hapo Joseph Kiraryo. Na Adelinus Banenwa Vifaa vya shule vyenye thamani…
14 October 2023, 1:28 pm
Sekondari ya Nyiendo kuwekewa umeme vyumba sita vya madarasa
Eng. Kambarage Wasira kwa kushirikiana na mdau wa maendeleo ndugu Eng.Gasper Mchanga wameahidi kuweka umeme katika madarasa 6 shule ya Sekondari Nyiendo iliyopo Halmashauri ya Mji wa Bunda Mkoani Mara. Na Adelinus Banenwa Mfumo wa umeme utakaogharimu shilingi milioni mbili…
13 October 2023, 11:40 am
Mkurugenzi afunguka sababu ya zahanati ya Kung’ombe kutoanza kazi hadi sas…
“Takribani shilingi milioni 16 zinahitajika kufanyia maboresho baadhi ya mambo katika zahanati ya Kung’ombe na kufikia mwezi Disemba 2023 itaanza kutoa huduma” Na Edward Lucas Kufuatia kilio cha wananchi wa mtaa wa Kung’ombe Halmashauri ya Mji wa Bunda juu ya…
13 October 2023, 7:22 am
Kambarage atatua changamoto ya maji Kunzugu sekondari
Kiasi cha shilingi million moja laki moja na elfu Arobaini na nne (1,144,000) zimetolewa na Ndugu Kambarage Wasira katika kutatua changamoto ya maji shule ya sekondari kunzugu leo kwenye mahafali ya kidato cha nne. Na Adelinus Banenwa Kiasi cha shilingi…
12 October 2023, 5:14 pm
Miezi 3 tangu zahanati izinduliwe haijaanza kazi, wananchi wapaza sauti
Zahanati ilizinduliwa na mbio za Mwenge wa Uhuru Julai 11 2023 lakini hadi sasa Oktoba 2023 bado haijaanza kazi, wananchi wapaza sauti kwa serikali. Na Edward Lucas Wakazi wa mtaa wa Kung’ombe Halmashauri ya Mji wa Bunda mkoani Mara wameiomba…
7 October 2023, 12:56 pm
94 kati ya 154 wahitimu elimu ya msingi Tingirima
Na Taro M. Mujora Shule ya msingi Tingirima iliyopo halmashauri ya wilaya ya Bunda mkoani Mara imefanya mahafali ya 42 ya kuwaaga wanafunzi waliohitimu elimu ya msingi shuleni hapo. Mahafali hayo yamefanyika jana Oktoba 6,2023 shuleni hapo huku mgeni rasmi…
6 October 2023, 8:39 am
Sekondari Kabasa yapigwa jeki
Mahafali ya kidato cha nne shule ya sekondari Kabasa, Kambarage Wasira akiwa mgeni rasmi atoa milioni moja (1,000,000/=Tsh) kukabili sehemu ya changamoto katika shule hiyo. Na Edward Lucas Ikiwa ni wiki moja imepita tangu Kambarage ashiriki mahafali ya darasa la…
5 October 2023, 11:56 pm
Kabasa sekondari wampa kongole Samia ujenzi vyumba vya madarasa
“Kabasa Sekondari ina madarasa 28 na yanayotumika ni 22 tu hivyo ina ziada ya madarasa 6” Na Edward Lucas Shule ya Sekondari Kabasa iliyopo Halmashauri ya Mji wa Bunda mkoani Mara, imempongeza Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa utekelezaji wa…
4 October 2023, 7:29 pm
Gilyoma: Bunda kutumia mita mpya za maji
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Bunda BUWSSA inatarajia kufunga mita mpya takribani 6000 na kuondoa mita za zamani Na Catherine Msafiri Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Bunda (BUWSSA) Bi. Esther Gilyoma, amesema…