Mazingira FM

Recent posts

16 November 2023, 9:49 pm

Baraza la madiwani Bunda laahirishwa madiwani wakidai taarifa za miradi

Madiwani wakataa kuendelea na kikao wakiomba kupata taarifa za miradi mbalimbali inayotekelezwa ndani ya halmashauri. Na Edward Lucas. Mwenyekiti wa Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Mkoani Mara, Mhe. Charles Manumbu ameahirisha kikao cha baraza hilo na kumwagiza…

12 November 2023, 7:43 pm

Wanafunzi 4953 kidato cha nne Bunda kuanza mtihani Nov 13

Wanafunzi wapatao 4953 kidato cha nne wanatarajia kuanza mtihani wa kuhitimu kidato cha nne wilayani Bunda kati yao wasichana ni 2470 na wavulana 2483. Na Adelinus Banenwa Wanafunzi wapatao 4953 kidato cha nne wanatarajia kuanza mtihani wa kuhitimu kidato cha…

12 November 2023, 12:36 pm

BUWSSA yapewa kongole usimamizi wa miradi ya maji

Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Dkt. Vicent Naano ameipongeza Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Bunda kwa ubora wa miradi wanayoitekeleza. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Dkt. Vicent Naano ameipongeza Mamlaka ya Maji na…

12 November 2023, 12:27 pm

”Wakazi wa Bunda ombeni kuunganishiwa maji ili mabomba yasipasuke”

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Bunda Ndg. Mayaya Abraham Magesse amewasihi wakazi wa Bunda kuomba kuunganishiwa maji kwenye makazi yao kutoka Mamlaka ya Maji Bunda. Na Adelinus Banenwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Bunda Ndug. Mayaya Abraham Magesse amewasihi wakazi…

12 November 2023, 11:00 am

Mzee wa miaka (62) ahukumiwa miaka 30 jela kwa kosa la ubakaji

Mahakama ya wilaya ya Bunda imemuhukumu Nyakurunduma Matutu kuboja (62) mkazi Kiroreli kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka kumi. Na Adelinus Banenwa Mahakama ya wilaya ya Bunda imemuhukumu Nyakurunduma Matutu kuboja (62)…

9 November 2023, 8:05 am

Ujenzi wa Sekondari Bunda Mjini wafikia 85%

Ujenzi wa shule ya Sekondari ya Bunda Mjini unagharimu shilingi 584 mil chini ya mradi wa SEQUIP yafikia asilimia 85. Na Adelinus Banenwa Ujenzi wa shule ya Sekondari ya Bunda Mjini unagharimu shilingi 584 mil chini ya mradi wa SEQUIP…

1 November 2023, 9:24 am

Wakazi 5000 kunufaika na mradi wa maji Manyamanyama, Mugaja

Zaidi ya wakazi 5000 kutoka kata ya Manyamanyama na maeneo jirani wanatarajia kunufaika na huduma ya maji kutoka mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Bunda BUWSSA. Na Adelinus Banenwa Zaidi ya wakazi 5000 kutoka kata ya Manyamanyama na…

1 November 2023, 9:15 am

Wilaya ya Bunda kulima ekari elfu 69 za pamba msimu huu

Kiasi cha ekari elfu 69,110 za zao la pamba zinatarajiwa kulimwa ndani ya wilaya ya Bunda katika katika msimu wa mwaka 2023 – 2024. Na Adelinus Banenwa Kiasi cha ekari elfu 69,110 za zao la pamba zinatarajiwa kulimwa ndani ya…