Recent posts
3 July 2024, 12:38 pm
Waganga tiba asili Bunda walaani mauaji ya watu wenye ualbino
Waganga wa tiba asili na tiba mbadala Bunda wamelaani mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi na mauaji mengine yenye imani za kishirikina, wakisema wanaofanya hivyo siyo waganga wa tiba asili bali ni waganga wa kienyeji. Na Adelinus Banenwa Chama…
27 June 2024, 12:47 pm
Siku 7 zatolewa Bunda TC na Bunda DC kugawana mali na madeni
Siku saba zatolewa kwa halamshauri za Bunda kugawana mali na madeni. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa mkoa wa Mara Kanal Evans Mtambi ametoa siku saba 7 kwa Halmashauri ya wilaya ya Bunda na halmashauri ya mji wa Bunda kugawana mali…
27 June 2024, 12:35 pm
Bunda DC yapongezwa kwa kupata hati safi 2022/2023
Mkuu wa mkoa aipongeza Bunda DC kwa kupata hati safi ya ukaguzi aielekeza menejimenti kufanyia kazi hoja za ukaguzi. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa mkoa wa Mara Kanal Evans Mtambi ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Bunda kwa kupata hati safi…
27 June 2024, 12:22 pm
Mtambi: Watumishi timizeni wajibu wenu, shule ya mwisho kupewa kinyago
Kanal Mtambi amewataka watumishi kuzingatia maadili ya taaluma zao huku akitoa maelekezo ya marufuku shule kupata sifuri matokeo ya kidato cha nne mkoa wa Mara. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa mkoa wa Mara Mhe Kanal Evans Mtambi amewataka watumishi kuzingatia…
23 June 2024, 10:29 pm
Mtoto aliyeokotwa saa chache baada ya kuzaliwa apewa jina la Jasmine
Mtoto aliyeokotwa saa chache baada ya kuzaliwa apewa jina la Jasmine na mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Bunda. Na Adelinus Banenwa Mtoto aliyetupwa saa chache baada ya kuzaliwa na kuokotwa na wasamalia apewa jina la Jasmine na mkurugenzi wa…
23 June 2024, 10:19 pm
Mlinzi auawa usiku akiwa lindoni na watu wanaodhaniwa ni majambazi
Mwanaume mwenye umri wa miaka 72 aliyetambulika kwa jina la Pastori Mahela mkazi wa Ruselu B kata ya Sazira halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara amekutwa ameuawa usiku Na Adelinus Banenwa Mwanaume mwenye umri wa miaka 72 aliyetambulika kwa…
21 June 2024, 2:47 pm
Bunda Stoo sasa wapata soko lao
“Tumekuwa tukipata tabu sana kutembea umbali mrefu kufuata mboga sokoni hadi manjebe zaidi ya kilometa saba sasa uwepo wa soko hapa ni mkombozi kwetu” wakazi wa Bunda stoo. Na Adelinus Banenwa Wakazi wa kata ya Bunda stoo waishukuru serikalai kwa…
21 June 2024, 2:14 pm
Walimu watakiwa kutojiona wanyonge serikali inatambua mchango wao
Walimu msijione wanyonge kazi yenu serikali inaitambua hivyo timizeni wajibu wenu pia fanyeni kazi acheni mazoea hakuna mwanafunzi mjinga wala dhana ya shule ya serkali haifaulishi. Na Adelinus Banenwa Naibu katibu mkuu wizara ya Rais TAMISEMI anayeshughurikia upande wa elimu …
21 June 2024, 1:56 pm
Zaidi ya milion 230 zatolewa kuwakwamua wanawake kiuchumi
Wanawake watakiwa kujiunga kwenye vikundi vya ujasiriamali ili viwasaidie kupata mikopo na kujikwamua kimaisha. Na Mariam Mramba Jumla ya wanawake 263 kutoka kijiji cha Magunga kata ya Mirwa wilayan Butiama wamenufaika na mkopo wa shilingi (232, 470,000) million mia mbili…
21 June 2024, 1:19 pm
Wazazi watakiwa kuzingatia lishe kwa watoto
Wito umetolewa kwa wazazi na walezi kuzingatia lishe bora kwa watoto chini ya miaka mitano ili kuwa na watoto wenye afya bora Na Catherine Msafiri Wazazi na walezi wameaswa kuhakikisha wanazingatia lishe bora kwa watoto wao hasa wa mwaka 0…