
Recent posts

25 March 2025, 10:35 pm
Bunda: Aliwa na mamba akiwa kwenye uvuvi Ziwa Victoria
Afariki dunia kwa kuliwa na mamba baada ya kumkamata akiwa anaendelea na uvuvi wa samaki kando ya ziwa Victoria.. sehemu ndogo tu ya mwili imepatikana familia wazika Na Thomas Masalu Mashiku Mihayo (49) mkazi wa mtaa wa Guta Mjini amefariki…

23 March 2025, 12:24 pm
Anayedaiwa kuchoma moto kiganja cha mtoto wake atiwa mbaroni
Mwanamke aliyedaiwa kumchoma mwanae kiganja cha mkono kwenye jiko la mkaa atiwa mbaroni wananchi wataka kumshushia kipigo. Na Adelinus Banenwa Ni Neema Musimu John mkazi wa mtaa wa Mapinduzi kata ya Bunda mjini mkoani Mara ambaye inadaiwa kumchoma moto kwenye…

22 March 2025, 9:03 pm
Radio jamii zanolewa kumulika nafasi ya wanawake uchaguzi mkuu 2025
Licha ya sensa ya watu na makazi ya 2022 kuonesha idadi ya wanawake ni wengi kuliko wanaume, katika nafasi za uongozi kwa ngazi za udiwani na ubunge bado kuna idadi ndogo zaidi ya uwakilishi. By Edward Lucas Chama cha Wanahabari…

21 March 2025, 6:04 pm
Wanafunzi Dr. Nchimbi sekondari wavutiwa na Mazingira FM
Wameirai jamii kusikiliza na kutembelea kituo cha Radio Mazingira Fm kutokana na huduma bora za utangazaji na ufikisha wa mahudhui ya habari kwa wananchi na jamii kwa ujumla. Na Adelinus Banenwa Baadhi ya wanafunzi wa kidato cha nne shule ya…

21 March 2025, 5:45 pm
Mtoto wa miaka mitano adaiwa kachomwa moto na mama yake mzazi
Inadaiwa mama huyo aliyetambulika kwa jina la Neema Musimu John alichukua hatua ya kumuunguza mtoto huyo baada ya kujisaidia kwenye nguo bila kutoa taarifa. Na Adelinus Banenwa Mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka mitano ambaye jina lake limehifadhiwa amekutwa…

21 March 2025, 4:24 pm
Diwani Ketare ambaye ni Mkurugenzi Mazingira FM atunukiwa hati ya pongezi
Viongozi hao wameonesha umoja na ushirikishanaji wa taarifa za miradi pindi inapopelekwa kwenye maeneo yao. Na Adelinus Banenwa Halmashauri kuu ya CCM wilaya ya Bunda imewapongeza baadhi viongozi wilayani Bunda kwa utekelezaji na usimamizi wa miradi ya serikali kwenye maeneo…

19 March 2025, 12:24 pm
Wananchi watakiwa kuzingatia usafi kuepuka magonjwa ya mlipuko
Kazi kubwa ya wataalamu ni kutoa elimu kwa jamii ili kudhibiti magonjwa ya milipuko kama vile kipindupindu, kichocho, miongoni mwa magonjwa mengine. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa jamii kuzingatia usafi wa mazingira na vyakula ili kuepukana na magonjwa ya…

15 March 2025, 5:46 pm
Bunda kuadhimisha miaka minne ya Rais Samia Machi 17
Miongoni mwa maeneo yatakayoangaziwa ni pamoja na sekta mbalimbali za serikali ikiwemo Maji, Umeme, Afya, Barabara pamoja na Elimu. Na Adelinus Banenwa Serikali wilayani Bunda imewaomba wananchi wote kuudhuria maadhimisho ya miaka minne ya serikali ya awamu ya sita chini…

7 March 2025, 7:22 pm
Mbunge Ghati ahimiza ushirikiano kwa wanawake
Mbali na kuwataka wanawake kuwa na mshikamano pia amesema ni lazima zisemwe kazi nzuri zilizofanywa na serikali awamu ya sita chini ya rais Samia Suluhu Hassan Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa wanawake wote kuwa na ushirikiano na kujenga tabia…

6 March 2025, 5:29 pm
Anusurika kifo baada ya kushambuliwa na mamba akioga
Anusurika kifo baada ya kushambuliwa na Mamba alipokwenda ziwani asubuhi, rafiki apanda juu ya mamba kunusuru ndugu yake. Na Adelinus Banenwa Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Baraka Jumanne Maseke mwanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari Neruma kata…