Mazingira FM

Mbunge Maboto atangaza kuwania tena ubunge uchaguzi mkuu 2025

5 December 2024, 10:26 am

Mbunge wa jimbo la Bunda mjini Mhe Robert Chacha Maboto

Mbunge wa jimbo la Bunda mjini Mhe Robert Chacha Maboto atangaza nia yake ya kugombea tena  nafasi ya Ubunge wa jimbo la bunda mjini uchaguzi mkuu wa 2025.

Na Adelinus Banenwa

Mbunge wa jimbo la Bunda mjini Mhe Robert Chacha Maboto atangaza nia yake ya kugombea tena  nafasi ya Ubunge wa jimbo la bunda mjini uchaguzi mkuu wa 2025.

Mhe Maboto amesema kutokana na kazi iliyofanyika katika kipindi cha serikali ya awambu ya sita chi ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kufikisha huduma muhimu karibu na wananchi ambapo yeye kama mbunge akishirikiana na viongozi wengine haoni sababu ya kutogombea tena nafasi hiyo.

Mhe Mbunge maboto ameyasema  hayo leo  tarehe 4 Dec 2024 kwenye zoezi la utambulishaji mradi wa maji wenye thamani ya shilingi 1.62 bilion katika kata ya Wariku miongoni mwa kata 13 zinazounda jimbo la bunda mjini.

Sauti ya Mbunge wa jimbo la Bunda mjini Mhe Robert Chacha Maboto