Mazingira FM
Madarasa 708 yajengwa kwa fedha za UVICO-19 mkoani Mara
20 January 2022, 7:55 pm
Jumla ya madarasa 708 mkoani Mara yamejengwa kupitia mradi wa maendeleo ya ustawi wa taifa na mapambano dhidi ya UVICO 19.
Hayo yameelezwa na mkuu wa mkoa wa Mara Ally Happi wakati wa ziara ya kukagua na kuzindua madarasa 48 ya halmashauri ya mji wa Bunda mwanzoni mwa wiki hii.
Pia kupitia mpango huu wa kupambana na Uvico 19 Happi amsema fedha hizo zimewezesha kujenga ofisi 219 ambazo zitasaidia walimu wapatao 2190 kutumia ofisi hizo.
Sambamba na hayo mkuu wa mkoa Ally Happi ametumia nafasi hiyo kwa kusema.