Mazingira FM
Mazingira FM
27 October 2025, 4:13 pm

Sikiliza hoja zenye kutafakalisha, simulizi za kweli, na sauti zinazovunja ukimya kuhusu ushiriki wa wanawake kwenye maamuzi ya nchi.
Na Dina Shambe na Edward Lucas
Katika kipindi hiki maalumu cha Redio Mazingira FM ,wachambuzi wa masuala ya kijamii,Viongozi wanawake,na wananchi wanajadili historia na nafasi ya mwanamke katika uongozi nchini Tanzania.
Sikiliza hoja zenye kutafakalisha ,simulizi za kweli,na sauti zinazovunja ukimya kuhusu ushiriki wa wanawake kwenye maamuzi ya nchi.