Mazingira FM
Mazingira FM
23 September 2025, 11:26 am

Na Adelinus Banenwa
Kipindi kinahusu kutoa elimu kwa jamii inayotekeleza mila ya ukeketaji kwa akinamama na mabinti juu ya madhara ya kiafya kijamii na kimaendeleo watakayoyapata pindi wanapofanyiwa mila hiyo.
Lakini pia kinaonesha umuhimu wa dhamira ya mila hizo, hivyo kipindi kinajaribu kuelimisha jamii kubuni njia mbadala ya kutumia badala ya kufanya ukeketaji ambao mwisho wa siku ni hatari kwa afya za watendewa.