Mazingira FM
Mazingira FM
13 September 2025, 6:56 am

Viongozi wa kisiasa na wanaharakati wa kupinga ukatili wameweka wazi namna tatizo hili linavyowaathiri wanawake.
Na Dinnah Shambe
Wanawake wengi wanaojitokeza kuwania nafasi za kisiasa hukumbana na kikwazo kikubwa-rushwa ya ngono,hali hii si tu inawakatisha tama,bali pia inazima ndoto za taifa kupata uongozi wenye usawa na mshikamano wa kijinsia.
Katika kipindi hiki cha ulimwengu wa wanawake kupitia redio mazingira fm,viongozi wa kisiasa na wanaharakati wa kupinga ukatili wameweka wazi namna tatizo hili linavyowaathiri wanawake,na hatua zinazochukuliwa kukomesha vitendo ivyo. sikiliza mjadala mzima hapa ili kupata undani wa changamoto hii na suluhisho linaowezekana.