Mazingira FM
Mazingira FM
2 September 2021, 7:55 pm
By Hawa Mbulula

Katibu tawala wa wilaya ya bunda Salum Mtelela ametoa wito kwa wananchi wote wa bunda kwa ujumla kuwa tarehe 4/9/2021 siku ya jumamosi ni siku ya usafi mkoa wa mara
Mteela ameyasema hayo leo sept 2 ,2021 katika ofisi za wilaya kwa niaba ya mkuu wa wilaya mtelela amesema kuwa wananchi wote wanatakiwa kufanya usafi bila kujali jinsia wala itikadi za vyama vyao

Kwa upande wake mwenyekiti wa wajasiriamali mkoa wa mara Charles Waitara amesema kuwa mazingira bado ni machafu pia ameiomba serikali itoe gari ili isaidie shughuli za usafi