

31 March 2021, 5:30 pm
MAKAMU wa Rais mteule, Dkt Philip Mpango, ameapishwa leo Machi 31, katika ukumbi wa Ikulu Chamwino jijini Dodoma.
Akihutubia baada ya makamu wake kuapishwa, Rais Samia, ametangaza Baraza Lake Jipya la mawaziri ambalo amefanya mabadiliko kidogo, Katika baadhi ya wizara ikiwemo ya Tamisemi, ambayo amemtoa Waziri Jafo na kumuweka Ummy Mwalimu
Mh Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania