Mazingira FM
Mazingira FM
2 April 2021, 4:52 pm
Katibu wa chama cha mapinduzi CCM wilaya ya Bunda mkoani Mara Ramamdhani Dallo amewataka watumishi wa umma na wakuu wa idara halmasauri ya wilaya ya Bunda kuacha mara moja kutumia neno mchakato na badala yake wajielekeze katika kutekeleza miradi ya…
2 April 2021, 4:42 pm
Jeshi la Polisi linamshikilia Mkazi wa Bunda Mkoani Mara kwa kukutwa akisafirisha Kobe 438 kwenye mabegi matatu bila ya vibali Kobe hao wana thamani ya Shilingi Milioni 71.
31 March 2021, 5:30 pm
MAKAMU wa Rais mteule, Dkt Philip Mpango, ameapishwa leo Machi 31, katika ukumbi wa Ikulu Chamwino jijini Dodoma. Akihutubia baada ya makamu wake kuapishwa, Rais Samia, ametangaza Baraza Lake Jipya la mawaziri ambalo amefanya mabadiliko kidogo, Katika baadhi ya wizara…
25 March 2021, 3:17 pm
Katika kuhakikisha redio za kijamii zinasikika kupitia kwenye mtandao TADIO imeanzisha program maalumu itakayozisaidia redio zote za kijamii zilizopo kwenye TADIO Mafunzo hayo ya siku mbili yamefanyika Jijini Mwanza ambapo mafunzo yanalenga kuwawezesha waandishi kutoka vituo vya redio za kijamii…
Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.
Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.
Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.
Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com