Mazingira FM

Recent posts

22 October 2022, 8:33 pm

Wenyeviti wa vijiji Bunda Wapewa somo kuhamasisha chanjo ya UVIKO -19

    Katibu tawala wilaya ya bunda salumu halfan mterela amewataka viongozi wa vijiji na mitaa kuhamasisha wananchi kujitokeza katika kampeni ya siku kumi ya kuhamasisha chanjo ya uviko 19   Akizungumza katika kikao kilichoshirikisha idara ya afya na wenyeviti…

22 October 2022, 8:28 pm

SIKIKA TAKUKURU, zaendesha mafunzo kutokomeza rushwa kwenye huduma za afya

Sikika kwa kushirikiana TAKUKURU wilayani Bunda wameendesha mafunzo kwa kamati za ujenzi na mapokezi kwa lengo la kuzuia masuala ya rushwa wakati wa kutekeleza majukumu yao. Mafunzo hayo yamefanyika wilayani Bunda ambapo Sikika kwa  kushirikiana na TAKUKURU chini ya mpango…

Ifahamu Mazingira FM

Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.


Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.

Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.

Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com