Mazingira FM

Recent posts

17 December 2022, 2:46 pm

BUFADESO BUNDA: wafanya mkutano mkuu wa shirika

Shirika la BUFADESO linalojihusisha na utoaji elimu kwa jamii juu ya masuala ya kijinsi na kuwajengea uwezo wakulima mkoani mara limefanya mkutano mkuu wa mwaka ambapo imepokea taarifa mbalimbali zilizofanywa na shirika hilo kwa mwaka wa 2022. Akitoa taarifa ya…

17 December 2022, 2:38 pm

Bunda: CCM Nyasura yapokea taarifa ya utekelezaji wa ilani 2022

Halmashauri kuu ya ccm kata ya nyasura ikiongozwa na mwenyekiti wa chama hicho Marko Mabula Budosera imepokea taarifa aya utekerezaji wa ilani ya chama hicho kwa mwaka 2022 Akisoma taarifa hiyo mbele ya wajumbe wa halmashauri kuu hiyo afisa mtendaji…

16 December 2022, 7:52 am

Sagini awaonya madereva wazembe kuelekea mwisho wa mwaka

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini amewataka maderava wa magari ya abiria na binafsi kuongeza umakini barabarani hasa wakati huu wa kuelekea sikukuu za Krismasi na mwaka mpya ili kuepuka ajali zisizokuwa za lazima. Kauli hiyo…

Ifahamu Mazingira FM

Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.


Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.

Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.

Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com