Mazingira FM

Recent posts

5 January 2023, 8:54 am

Bunda; Sasa rasmi wakazi wa kata ya Nyatwali kuhama serikali yasema

Serikali imetangaza adhima yake kuhusu kulitwaa eneo la kata ya  Nyatwali lililopo katika Halmashauri ya Mji wa Bunda mkoani Mara kuwa sehemu ya hifadhi ya taifa ya Serengeti Kamati ya mawaziri nane wa kisekta wakiongozwa na mwenyekiti wao ambaye pia…

1 January 2023, 6:26 pm

Bunda; Nymakokoto wafanya usafi kiwilaya

Diwani wa kata ya Nyamakoko Mhe Emanuel Machumu Malibwa amewashukuru wananchi waliojitokeza kufanya usafi katika maeneo mbalimbali katika kata hiyo Akizungumza na Mazingira Fm mara baada ya zoezi hilo la ufasi Mhe Malibwa amesema alipokea maelekezo juu ya kata yake…

1 January 2023, 5:57 pm

MAZINGIRA FM kutanua masafa 2023

Ally Nyamkinda Meneja Mazingira Fm Meneja wa kituo cha utangazaji cha radio Mazingira Fm Ally Simba Nyamkinda  amewashukuru wasikilizaji na wadau wote wa Redio Mazingira kwa mwaka 2022 huku akibainisha kuwa Mazingira Fm ipo kwa ajili yao. Hayo ameyasema  katika…

Ifahamu Mazingira FM

Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.


Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.

Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.

Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com