Mazingira FM

Recent posts

25 January 2023, 7:49 am

BUWASA; wanaojiunganishia maji Bunda kukiona.

Mamlaka ya maji na usafi wa mazingira Bunda imewaonya wananchi wanaojiunganishia maji kinyemela bila taarifa ya mamlaka kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa  dhidi yao pindi watakapobainika Hayo yamesemwa na Moyo Faya kutoka Mamlaka ya maji Bunda wakati wa ukaguzi…

23 January 2023, 4:30 pm

Mkurugenzi Mazingira FM akabidhi msaada kwa mtoto mwenye ulemavu

Mkurugenzi wa radio Mazingira Fm ambaye pia ni Diwani wa kata ya Ketale Mhe Mramba Simba Nyamkinda amemkabidhi baiskeli ya magurudumu mawili kwa bi Ferda Wanjara mkazi wa kata ya Nyasura ambaye ni mama mzazi wa mtoto Elizabeth John mwenye…

22 January 2023, 9:10 pm

MCH MOTOMOTO, Wasaidieni Yatima maana hujui kesho watakuwa nani.

Wito umetolewa kwenye jamii kuwahudumia watoto yatima na wanaoishi katika Mazingira magumu kwa kuwa hawakutaka kuwa hivyo Hayo yamesemwa na Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini Mhe Robert Chacha Maboto wakati wa harambee ya kutafuta fedha ya ununuzi wa kiwanja…

15 January 2023, 5:32 pm

Mbunge Getere; awapongeza Nyaburundu kujenga shule ya Sekomdari

Mbunge wa jimbo la Bunda mh. Bonphace Mwita Getere amewapongeza wanakijiji cha Nyaburundu kata ya Ketare kwa nia njema waliyoonesha ya kujega Shule ya Sekondari katika kijiji hicho. Mh. Getere ameyasema hayo katika ziara yake jimboni wakati akiongea na wananchi…

Ifahamu Mazingira FM

Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.


Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.

Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.

Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com