Mazingira FM

Recent posts

25 March 2021, 3:17 pm

Waandishi wa habari wa redio za kijamii kanda ya ziwa wajengewa uwezo na TADIO

Katika kuhakikisha redio za kijamii  zinasikika kupitia kwenye mtandao TADIO  imeanzisha program maalumu itakayozisaidia redio zote za kijamii zilizopo kwenye TADIO Mafunzo hayo ya siku mbili yamefanyika Jijini Mwanza ambapo mafunzo yanalenga kuwawezesha waandishi kutoka vituo vya redio za kijamii…

Ifahamu Mazingira FM

Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.


Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.

Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.

Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com