Mazingira FM

Recent posts

18 March 2023, 5:52 pm

Huduma za Rita sasa ni mtandaoni.

Wakala wa ufilisi na udhamini nchini rita umekamilisha hatua ya kwanza ya mfumo wa usajili wa matukio mbalimbali ya binadamu ikiwemo vizazi , vifo , ndoa na taraka kupitia mtandao ambao unajulikana kama E RITA jambo litakalorahisisha upatikanaji wa huduma…

3 March 2023, 2:05 pm

Wakaazi wa Nyamuswa walalamika kuingiliwa kingono kwa njia za kishirikina

Wakaazi wa Kijiji Cha Nyamuswa Kata ya Nyamuswa Halmashauri ya wilaya ya Bunda mkoani Mara wamelalamikia vitendo vya kuingiliwa kingono wakati wamelala jambo linaloleta taharuki kwa wananchi Wakizungumza kwa nyakati tofauti wakazi hao wamesema licha ya vitendo hivyo kukemewa na…

Ifahamu Mazingira FM

Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.


Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.

Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.

Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com