Mazingira FM

Recent posts

5 May 2023, 10:31 am

Mitaro ya Maji kuongeza ulinzi wa Barabara

Wakazi wa kata ya Nyasura Halmashauri ya Mji wa Bunda Mkoani Mara wametakiwa kulinda miundombinu ya barabara kwa kuhakikisha mitaro iko safi ili maji yaendelea kupita vizuri pasipo kuharibu barabara. Wito huo umetolewa na Diwani wa Kata hiyo, Mh Magigi…

30 April 2023, 10:17 am

Uwepo wa Sheria ya Ukeketaji itamaliza Ukatili huo Nchini.

Uwepo wa Sheria Mahususi inayopinga vitendo vya Ukeketaji Nchini Tanzania itasaidia kutokomoza Ukatili huu kwenye Jamii zilizoathirika na huo utamaduni3 Hayo yamesemwa na wadau wa kupinga Ukeketaji Nchini Tanzania katika mafunzo kwa waandishi wa habari ambapo lengo kuu la Mafunzo…

27 April 2023, 7:19 pm

Kesi 104 za ukeketaji wilayani Tarime hazikufika mwisho kwa kukosa ushahidi

imeelezwa kuwa ukeketaji unaovuka mipaka bado ni changamoto hasa katika jamii zinazoishi mipakani kati ya nchi na nchi. hayo yamebainishwa katika ufunguzi wa warsha ya mafunzo kwa Waandishi wa habari za kupinga masuala ya ukeketaji unaovuka mipaka inayofanyika wilayani tarime…

25 April 2023, 4:24 pm

Bunda kinara wizi wa fedha za miradi ya maendeleo mkoani Mara

Imeelezwa kua katika miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali mkoani Mara  Wilaya ya Bunda inaongoza kwa wizi wa vifaa vya ujenzi  wa miradi  hiyo jambo ambalo linarudisha nyuma juhudi za serikali. Hayo yamebainishwa na mkuu wa Mkoa wa Mara  Meja…

22 April 2023, 6:56 pm

Bunda; Suala la maadili latiliwa mkazo kwenye Swala ya Eid El Fitr.

Waislam wilayani Bunda wameungana na wezao kote Duniani kusherekea Sikukuu ya Eid El Fitr ikiwa ni kukamilisha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan miongoni mwa Nguzo kuu tano za uislam Katika ujumbe wake Sheikh Mkuu wa Bunda shekhe Abubakar Zuber…

21 April 2023, 7:31 am

Chuo cha kisangwa tayari kwenye mfumo wa kupikia nishati mbadala.

Chuo cha maendeleo ya wananchi kisangwa FDC wameiomba serikali kuzungumza na watoa huduma wa nishati mbadala za kupikia ili waweze kumudu gharama za uendeshaji katika ununuzi wa nishati hizo. Akizungumza na Mazingira Fm ofisini kwake leo 19 April 2023 mratibu…

21 April 2023, 7:20 am

Bunda: Wanafunzi watembea kilometa 16 hadi 20 kwa siku kufuata huduma ya elimu

Wakazi wa Kijiji Cha Nyaburundu katika Kata ya Ketare Halmashauri ya wilaya ya Bunda wameiomba serikali kuwakubalia kujenga shule ya secondary katika eneo walilolipendekeza kutokana na changamoto wanazokutana nazo watoto wao wanaokwenda kusoma shule ya Kijiji Jiran. Wakizungumza katika kikao…

Ifahamu Mazingira FM

Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.


Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.

Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.

Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com