Recent posts
8 April 2021, 4:52 pm
Ukeketaji bado ni tishio kwa mabinti
Moja kati ya mila na desturi za Wakurya mkoani Mara ilikuwa ni ukeketaji kwa kiasi kikubwa madhara ya ukeketaji yalikuwa hayafichuliwi kutokana unyeti wa suala hilo. Rhoda Komanchi mkazi wa Bunda Balili anaeleza kuhusu hatari iliyotokea kwa watoto wake wawili…
8 April 2021, 12:49 pm
Dc Bunda awapongeza wananchi kwa ushirikiano kipindi cha maombolezo
Mheshimiwa mkuu wa wilaya ya Bunda mkoani Mara Mwalimu Lydia Bupilipili amewashukuru Wananchi wa wilaya Bunda kwa kuonesha mshikamano na uzalendo wakati wa kipindi chote cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe…
2 April 2021, 5:27 pm
Billioni 1 kujenga makao makuu ya halmashauri.
Halmashauri ya wilaya ya Bunda mkoani Mara imepokea kiasi cha pesa za KitanzaniaTsh. Billioni Moja kwa ajili ya ujenzi wa makao makuu ya halmashauri hiyo. Taarifa ya kupokea pesa hizo imetolewa katika kikao cha baraza la madiwani kwenye kikao cha…
2 April 2021, 4:52 pm
Dallo- watumishi acheni kutumia neno mchakato
Katibu wa chama cha mapinduzi CCM wilaya ya Bunda mkoani Mara Ramamdhani Dallo amewataka watumishi wa umma na wakuu wa idara halmasauri ya wilaya ya Bunda kuacha mara moja kutumia neno mchakato na badala yake wajielekeze katika kutekeleza miradi ya…
2 April 2021, 4:42 pm
Mwananchi akamatwa kwa kusafirisha Kobe 438 Simiyu
Jeshi la Polisi linamshikilia Mkazi wa Bunda Mkoani Mara kwa kukutwa akisafirisha Kobe 438 kwenye mabegi matatu bila ya vibali Kobe hao wana thamani ya Shilingi Milioni 71.
31 March 2021, 5:30 pm
Kiapo cha Dkt Mpango chaja na mabadiliko ya Baraza la Mawaziri
MAKAMU wa Rais mteule, Dkt Philip Mpango, ameapishwa leo Machi 31, katika ukumbi wa Ikulu Chamwino jijini Dodoma. Akihutubia baada ya makamu wake kuapishwa, Rais Samia, ametangaza Baraza Lake Jipya la mawaziri ambalo amefanya mabadiliko kidogo, Katika baadhi ya wizara…
25 March 2021, 3:17 pm
Waandishi wa habari wa redio za kijamii kanda ya ziwa wajengewa uwezo na TADIO
Katika kuhakikisha redio za kijamii zinasikika kupitia kwenye mtandao TADIO imeanzisha program maalumu itakayozisaidia redio zote za kijamii zilizopo kwenye TADIO Mafunzo hayo ya siku mbili yamefanyika Jijini Mwanza ambapo mafunzo yanalenga kuwawezesha waandishi kutoka vituo vya redio za kijamii…