Mazingira FM

Recent posts

25 September 2022, 8:58 pm

Wangonjwa 90 wa macho wafanyiwa upasuaji kwenye kambi ya matibabu

Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Joshua Nassar amezindua kambi ya matibabu kwa wangojwa katika hospitali ya wilaya ya Bunda Manyamanyama inayodhaminiwa na kamati ya kukuza na kuendeleza uislamu Tanzania   Akizungummza katika uzinduzi huo mhe mkuu wa wilaya ameishukuru…

9 September 2022, 12:25 pm

Maonesho ya Mara EXPRO yaendelea kunoga

Tume  ya Madini Mkoani Mara imesema tatizo la usalama wa wachimbaji wadogo wa Madini kutozingatiwa umesababisa mamlaka hiyo kufunga Baadhi ya Migodi ndani ya mkoa wa Mara Hayo yamesemwa na Joseph Kumbulu afisa Madini Mkoa wa Mara wakati akizungumza Mazingira…

2 September 2022, 9:07 am

Bunda: bodaboda auawa kwa kukatwa shingo wezi waondoka na pikipiki

  Mtu mmoja ambaye ni dereva bodaboda aliyetambulika kwa jina la ISSA SAGUDA (22) mkazi wa Rubana kata ya Balili, Halmashauri ya Mji wa Bunda mkoani Mara amekutwa amepoteza Maisha kwa kukatwa na kitu Chenye Ncha Kali shingoni na tumboni…

24 August 2022, 8:40 pm

Bunda: wananchi waonywa uhujumu wa miondombinu ya maji

Mkurugenzi mtendaji wa mamlaka ya maji Bunda eng maisha amewataka wakazi wa Mji wa Bunda kuacha kuhujumu miundombinu ya maji ili kuebusha hasara kwa mamlaka na serikali   Akizungumza na redio Mazingira Fm ofisini kwake eng maisha amesema matukio ya…

Ifahamu Mazingira FM

Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.


Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.

Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.

Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com