Mazingira FM

Recent posts

22 October 2022, 8:28 pm

SIKIKA TAKUKURU, zaendesha mafunzo kutokomeza rushwa kwenye huduma za afya

Sikika kwa kushirikiana TAKUKURU wilayani Bunda wameendesha mafunzo kwa kamati za ujenzi na mapokezi kwa lengo la kuzuia masuala ya rushwa wakati wa kutekeleza majukumu yao. Mafunzo hayo yamefanyika wilayani Bunda ambapo Sikika kwa  kushirikiana na TAKUKURU chini ya mpango…

14 October 2022, 5:04 pm

DAS Bunda, marufuku uongozi wa machinga kutoza faini

Katibu Tawala Wilaya ya Bunda Moani Mara, Salumu Mtelela amepiga marufuku umoja wa Machinga kutoza faini wala kutoza ushuru katika masuala yanayohusu usafi wa Mazingira. Kauli hiyo ya Mtelela imekuja baada ya kupokea kero na malalamiko mbalimbali ya wafanyabiashara na…

Ifahamu Mazingira FM

Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.


Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.

Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.

Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com