Recent posts
28 November 2021, 7:50 am
Kisangwa yafanya maafali ya 31 Maji yawa kero chuoni hapo
Wanafunzi wapatao 126 level ya pili kutoka chuo Cha maendeleo ya Wananchi Kisangwa FDC wanategemea kumaliza masomo yao mapema mwezi huu Akizungumza katika maafari mkuu wa chuo Cha maendeleo ya Wananchi Kisangwa Edmund Nzowa amesema maafari hayo ni ya 31…
28 November 2021, 7:35 am
DC Nassar: Afunga shughuli za uchimbaji Madini Mgodi wa Kunanga Stooni baada ya…
Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Sharifu Mriba 26 mzanaki mkazi wa kyabakali amepoteza Maisha wakati akichimba Madini Mgodi wa Kunanga Tukio hilo limetokea tarehe 17 Nov 2021 katika machimbo ya Kunanga Stooni kinyambwiga kata ya Guta Halmashauri ya Mji…
12 November 2021, 5:38 pm
Shule ya msingi Bigutu yakabiliwa na upungufu wa madarasa
Shule ya msingi ya Bigutu iliyopo kata ya Bunda stoo Halmashauri ya Mji wa Bunda inakabiliwa na chambamoto mbalimbali kutokana na idadi kubwa ya wanafunzi wanaosomea shuleni hapo Akizungumza na Mazingira fm mwalimu mkuu wa shule hiyo Yohana Albert amesema…
12 November 2021, 5:20 pm
Mbegu za pamba sasa wakulima kukopeshwa
Siku moja tangu utaratibu wa kugawa mbegu kwa wakulima kwa njia ya mkopo kuanza kwenye AMCOS ya Kunzugu mkulima mwezeshaji na katibu wa chama hicho cha ushirika amesema mbegu zote zimeisha kwa yale makampuni yaliyoleta fomu za kujaza wakulima wanaokopa…
10 November 2021, 8:58 pm
Bunda; Wakulima wa pamba waomba kukopeshwa pembejeo
Baadhi ya Wakulima wa zao la pamba kata ya Kunzugu Halmashauri ya Mji wa Bunda wameiomba serikali isimamie zoezi la usambazaji wa mbegu ya pamba kwa kuwakopesha wakulima kama ilivyokuwa msimu uliopita tofauti na utaratibu wa msimu huu unaowataka walipie…
10 November 2021, 8:45 pm
Maafali ya 1 shule ya sekondari Anthony Mtaka
Takribani wanafunzi 243 Shule ya sekondari Anthony Mtaka iliyopo Wilayani Busega Mkoani Simiyu wanatalajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu kidato cha nne mwaka 2021 ambapo kati yao wavulana ni 104 Na wasichana ni 139 Kupitia risala ya wahitimu kawe mgeni rasmi…
19 October 2021, 5:26 pm
Wananchi wa Tamau wapata kivuko kipya kilichogharimu 420000/Tsh
Uongozi wa serikali ya mtaa wa Tamau kata ya Nyatwali Halmashauri ya mji wa Bunda leo umekabidhi kivuko kipya kwa wananchi wa eneo la Tamau ujaluoni ili kurahisisha shughuli za uvukaji katika eneo hilo. Akikabidhi mtumbwi huo uliogharimu kiasi cha…
8 October 2021, 3:59 pm
Nassar:-Ruwasa simamieni suala bili za Maji ili mpanue mtandao wa maji
Jumuiya za watumiaji maji wilaya ya Bunda Mkoani Mara wametakiwa kusimamia ipasavyo miradi ya maji iliyo katika maeneo yao kwa kuhakikisha wanatumia vizuri pesa wanazo kusanya katika miradi hiyo.Agizo hilo limetolewa leo Oct.7. 2021 na mgeni rasmi ambaye ni mkuu…
5 October 2021, 5:48 pm
Bunda:- Hofu ya mamba na viboko wananchi walazimika kutumia maji ya kwenye madim…
Kutokana na matukio ya mara kwa mara ya wananchi kujeruhiwa au kuuawa na mamba, baadhi ya wananchi wamelazimika kuwa wanatumia maji yaliyotuwama kando kando ya barabara kwa hofu ya kwenda Ziwani au Mtoni kutoka na matukio hayo. Mazingira Fm imeshuhudia…
5 October 2021, 4:50 pm
Siku ya Mwalimu Duniani: walimu waaswa kuendelea kusimamia nidhamu na elimu
Wito umetolewa kwa walimu wa wilaya ya Bunda mkoani Mara kuendelea kusimamia nidhamu, elimu kwa wanafunzi na kuelimisha jamii inayo wazunguka hasa katika masuala ya ujenzi wa Taifa. Wito huo umetolewa leo na katibu msaidizi wa Tume ya utumishi wa…