Recent posts
15 July 2022, 10:43 pm
MBUNGE ROBERT MABOTO ATOA PIKIPIKI 14 KWA KATA 14 ZA JIMBO LA BUNDA MJINI
Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini Mhe. Robert Chacha Maboto amegawa pikipiki 14 kwa vikundi vya waendesha pikipiki kutoka Katika kila Kata za Halmashauri ya Mji wa Bunda ndani ya Jimbo la Bunda Mjini Leo Tarehe 15.07.2022, Uwanja wa Sabasaba.…
15 July 2022, 8:26 pm
Bunda: Tarura walaumiwa kung’oa vibao vya Anwani za makazi Bila kushirikis…
Wajumbe wa kikao cha WDC kata ya kabarimu walalamikia uongozi wa Tarura Bunda katika hatua ya kuondoa na kubadilisha majina ya vibao vya barabara katika zoezi la anuani za makazi huku wakidai linapelekea usumbufu mkubwa kwao Wakizungumza katika kikao kilichofanyika…
15 July 2022, 12:34 pm
RC HAPI AIPONGEZA HALMASHAURI YA MJI WA BUNDA KWA KUPATA HATI SAFI YA CAG KWA MW…
Hayo yameelezwa wakati wa Baraza Maalumu la Halmashauri la kupitia Hoja za Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) tarehe 14.07.2022. Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Ally S. Hapi amewapongeza Waheshimiwa Madiwani na Wataalamu kwa kusimamia vizuri Miradi inayoletwa na Serikali…
7 July 2022, 9:17 pm
Mwenge wa uhuru wazindua miradi yenye thamani ya shilingi bilioni 2.2.Bunda
Mwenge wa Uhuru uwapo katika Halmashauri ya Mji wa Bunda tarehe 05.07.2022 umetembelea na kukagua Miradi mbalimbali, Umeweka jiwe la Msingi na kuzindua Miradi nane yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 2.2. Miradi iliyozinduliwa ni madarasa matatu na Ofisi…
22 June 2022, 7:47 am
Hapi: awaomba wazee Mara kusaidia kuondoa ubinafsi kwenye jamii
Mkuu wa Mkoa wa Mara amewaomba wazee wa mkoa huo kusaidia kukemea ubinafsi ambao unapelekea kuwepo hali duni za maendeleo unasababishwa na baadhi ya wananchi na viongozi kukwamisha baadhi ya miradi inayoletwa na Serikali. Kauli hiyo ametoa wakati akizungumza…
21 June 2022, 7:27 am
Mhe. Mabotto: Wataalamu wa sekta ya Madini chanzo Cha migogoro kwenye migodi ya…
Mbunge wa Bunda Mjini, Robert Chacha Maboto amesema suala la wananchi kuvumbua sehemu ya uchimbaji wa madini kisha wataalamu na wasimamizi wengine kutafuta watu wanakwenda kukata leseni bila kuwashirikisha wananchi wa eneo husika limekuwa likileta mgogoro mkubwa. Maboto ameyasema…
17 June 2022, 12:44 pm
NBS: 85% ya wananchi wameshaanza kuwa na uelewa wa zoezi la sensa
Saidi Amiri Afisa Habari kutoka ofisi ya Taifa ya Takwimu Kwa mujibu wa ofisi ya Taifa ya Takwimu 85% ya wananchi tayari waishaanza kuwa na uelewa kuhusu zoezi la sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 Hayo yamesemwa Leo…
16 June 2022, 11:12 pm
NBS: Taarifa sahihi ili kupata Takwimu sahihi
Wananchi wanashauriwa kutoa taarifa sahihi kwenye zoezi la sensa ya watu na makazi ili kuwezesha kupata Takwimu sahihi Hayo yamebainishwa Leo June 16, 2022 wakati wa mafunzo ya ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS kwa wahariri wa vyombo vya habari…
16 June 2022, 5:08 pm
IRINGA : Wahariri wa redio za kijamii Nchini wanolewa kushiriki vyema sensa ya w…
*IRINGA* Mtandao wa redio za kijamii Tanzania TADIO kwa kushirikiana na ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS wamefanya mafunzo kwa wahariri wa vyombo vya habari vya kijamii nchini kwa lengo la kuwawezesha kutoa elimu kwa jamii kuhusu umuhimu wa zoezi…
28 April 2022, 1:18 pm
Bunda: Ahukumiwa miaka 2 jela kwa kosa la kujeruhi
Mahakama ya wilaya ya Bunda mkoani Mara imemuhukumu kifungo cha miaka 2 gerezani na fidia ya sh. Laki tatu ndugu Maisha Ngoko maarufu kwa jina la Kishosha Ngoko 31 mkazi wa kijiji cha Kihumbu kwa kosa la kumjeruhi kwa kumkata…