Mazingira FM

Recent posts

18 October 2023, 12:18 pm

Walimu Nyaburundu watajwa kujiingiza kwenye siasa shuleni

Imeelezwa kuwa baadhi ya walimu wa shule ya Msingi Nyaburundu iliyopo kata ya Ketare halmashauri ya wilaya ya Bunda mkoani Mara wamejiingiza katika siasa na kusahau wajibu wao shuleni. Na Thomas Masalu Imeelezwa kuwa baadhi ya walimu wa shule ya…

17 October 2023, 11:05 am

Wanafunzi Esperanto sekondari sasa kusoma kidijitali

Shule ya sekondari Esperanto kufungiwa mfumo wa intarnet ili kusaidia ufundishaji na ujifunzaji kwa wanafunzi shuleni hapo. Na Avelina Sulus na Taro Michael Shule ya sekondari Esperanto kufungiwa mfumo wa intanet ili kusaidia ufundishaji na ujifunzaji kwa wanafunzi shuleni hapo.Hayo…

17 October 2023, 8:51 am

Mlida: Aainisha mipaka kuondoa migogoro wahifadhi na wafugaji

Mwenyekiti wa chama cha wafugaji Tanzania na mjumbe wa bodi ya wakurugenzi shirika la NARCO Mhe Mlida Mshota ameziomba mamlaka kuainisha mipaka baina ya hifadhi na maeneo ya wafugaji ili kuepusha migogoro baina yao na wafugaji. Na Adelinus Banenwa Mwenyekiti…

14 October 2023, 1:28 pm

Sekondari ya Nyiendo kuwekewa umeme vyumba sita vya madarasa

Eng. Kambarage Wasira kwa kushirikiana na mdau wa maendeleo ndugu Eng.Gasper Mchanga wameahidi kuweka umeme katika madarasa 6 shule ya Sekondari Nyiendo iliyopo Halmashauri ya Mji wa Bunda Mkoani Mara. Na Adelinus Banenwa Mfumo wa umeme utakaogharimu shilingi milioni mbili…

13 October 2023, 7:22 am

Kambarage atatua changamoto ya maji Kunzugu sekondari

Kiasi cha shilingi million moja  laki moja na elfu Arobaini na nne (1,144,000) zimetolewa na Ndugu Kambarage Wasira katika kutatua changamoto ya maji shule ya sekondari kunzugu leo kwenye mahafali ya kidato cha nne. Na Adelinus Banenwa Kiasi cha shilingi…

7 October 2023, 12:56 pm

94 kati ya 154 wahitimu elimu ya msingi Tingirima

Na Taro M. Mujora Shule ya msingi Tingirima iliyopo halmashauri ya wilaya ya Bunda mkoani Mara imefanya mahafali ya 42 ya kuwaaga wanafunzi waliohitimu elimu ya msingi shuleni hapo. Mahafali hayo yamefanyika jana Oktoba 6,2023 shuleni hapo huku mgeni rasmi…

6 October 2023, 8:39 am

Sekondari Kabasa yapigwa jeki

Mahafali ya kidato cha nne shule ya sekondari Kabasa, Kambarage Wasira akiwa mgeni rasmi atoa milioni moja (1,000,000/=Tsh) kukabili sehemu ya changamoto katika shule hiyo. Na Edward Lucas Ikiwa ni wiki moja imepita tangu Kambarage ashiriki mahafali ya darasa la…

Ifahamu Mazingira FM

Mazingira FM ni kituo cha radio chenye maudhui ya kijamii,kilichoanzishwa Mwaka 2011.
Mazingira fm inatangaza kutoka maeneo matatu (3) ndani ya mkoa wa mara ili kuwa na usikivu wa uhakika, ambapo Mnara mkuu upo wilaya ya Bunda, na mingine ipo wilaya ya Tarime na Musoma
Usikivu.


Mazingira fm inasikika katika wilaya zote za mkoa wa Mara, Bunda, Musoma,Tarime, Serengeti, Rorya na Butiama na kwa mkoa Simiyu inasikika katika wilaya za Busega, Bariadi, Maswa na Itirima kwa Mkoa wa mwanza inaskika katika wilaya za magu,ukerewe, kwimba na misungwi.

Muundo wa vipindi 70% mazungumzo na 30% ya muziki katika matangazo ya kila siku.

Mawasiliano.
P.o box 51
Saranga, kabarimu, Bunda
Postcode-31530
Tel:0621046491
mazingirafm@gmail.com
https://radiotadio.co.tz/mazingirafm/
www.mazingirafm.com