Mazingira FM

Recent posts

5 July 2023, 5:40 pm

Mmoja afariki 46 wajeruhiwa ajali ya gari Bunda

Mtu mmoja Anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 amepozea  maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari  walilokuwa  wakisafiria kupata ajali katika eneo la Balili kona Bunda mkoani Mara Na Adelinus Banenwa Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa…

4 July 2023, 2:27 pm

Wanawake mkoani Mara watakiwa kuzingatia muda kujiletea maendeleo

Na Adelinus Banenwa Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa kupitia umoja wa wanawake UWT Bi Joyce Mang’o amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwapeleka wanawake viongozi kupata mafunzo nchini China.

4 July 2023, 11:24 am

Radio Jamii zanolewa juu ya umuhimu kutumia mitandao kuhabarisha umma

Katika kuziimarisha Radio za Kijamii, Tadio imetoa mafunzo kwa waandishi wa habari namna ya kuchapisha habari katika mtandao na faida zake katika ulimwengu wa kidigitali. Na Ally Nyamkinda Radio za Kijamii zimepewa mafunzo ya namna ya kuzipa nguvu habari katika…

2 July 2023, 3:43 pm

Km 25 barabara za lami kupendezesha mitaa Bunda

Mkuu wa wilaya ya Bunda Dk Vicent Naano amesema serikali imeleta fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara kilometa 25 za lami ndani ya barabara za mitaa Bunda mjini,  stendi mpya ya kisasa, soko, pamoja na machinjio. Dc Naano ameyasema…

2 July 2023, 3:35 pm

CHADEMA: Baadhi ya AMCOS hatarini kufilisiwa Bunda

Baadhi ya vyama vya ushirika AMCOS halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara viko kwenye hatihati ya kuuzwa mali zao ikiwa ni pamoja na maghala au stoo kutokana na mikopo ya matrekta kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo. Haya yamebainishwa…

21 June 2023, 10:47 am

TRA: Wafanyabiashara lipeni kodi msisubiri siku ya mwisho kuna faini

Afisa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi Mamlaka ya Mapato TRA mkoa wa Mara, Geofrey Comoro amewaasa wafanyabiashara wasisubiri siku ya mwisho kufanya malipo ya kodi ya mapato bali wafanye mapema ili kuepuka faini na usumbufu usio wa lazima. Comoro ameyasema…

21 June 2023, 10:40 am

CHADEMA: Ugumu wa maisha kwa vijana chanzo cha kucheza kamari, kubeti

Chama cha Demokrasia na Maendeleo  CHADEMA kimefanya mkutano katika kata ya Bunda Stoo halmashauri ya mji wa Bunda huku wakigusia mambo mbalimbali likiwemo ukosefu wa ajira kwa vijana  na ugumu wa maisha. Katika mkutano huo uliohudhuriwa na viongozi mbalimbali kuanzia ngazi ya…