Mazingira FM

Recent posts

6 August 2023, 10:29 pm

Watu 1000 hadi 5000 hupoteza maisha Ziwa Victoria kwa mwaka

Taasisis ya bonde la Ziwa Victoria inayohudumia nchi zote ndani ya Afrika Mashariki tayari imeandaa mpango wa kusimika mitambo ya mawasiliano ziwani yenye thamani ya shilingi bilioni 60 pesa ya kitanzania itakayosaidia kutoa taarifa kwa changamoto yoyote itakayojitokeza kwa watu…

6 August 2023, 10:05 pm

Ghala la pamba la 4C lateketea kwa moto Bunda

Ghala la pamba linalomilikiwa na kampuni ya 4c limeteketea kwa moto huku likiwa na mzigo wa pamba ndani, hadi sasa haijulikani hasara ni kiasi gani. Na Adelinus Banenwa Katibu tawala wilaya ya Bunda Mhe Salumu Mtelela amesema hadi sasa haijulikani…

4 August 2023, 2:33 pm

Namba 116 yasaidia kwa kiasi kikubwa utoaji wa taarifa za ukatili

Lengo la mafunzo haya kati ya vyama vya wenye ulemavu na waandishi wa habari ni kuweka mpango kazi wa pamoja na kuweka mapendekezo wa njia gani zitumike katika kutokomeza ukatili wa kijinsia katika jamii. Na Adelinus Banenwa Katika kukabiliana na…

3 August 2023, 3:23 pm

Wenye ulemavu na wanahabari wakutanishwa elimu kupinga ukatili Mara

Dismas amewataka watu wenye ulemavu hasa wanawake na wasichana kujiona watu wa kawaida katika Jamii. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa waandishi wa habari kuelimisha Jamii juu ya madhara yatokanayo ya ukatili wa kijinsia katika Jamii hasa kwa kwa wanawake…

2 August 2023, 9:55 pm

Bunda: Miili yote 13 yapatikana ajali ya mitumbwi Ziwa Victoria

28 walipata ajali 30 July 2023, wakanusurika 14 siku ya tukio , mtoto wa mwaka mmoja akapatikana akiwa amefariki na katika zoezi la utafutaji tarehe 1 August 2023 hadi kufikia saa 12:00 jioni wawili walikuwa wamepatikana na kufika asubuhi 2…

2 August 2023, 8:23 am

Breaking News: miili 10 mingine yapatikana ajali ya mitumbwi Bunda

Na Adelinus Banenwa Katika zoezi la utafutaji ya miili ya wanaoohofiwa kufa maji kwa ajali ya mitumbwi, hadi sasa miili 12 tayari imepatikana kati ya watu 13 waliotajwa kuzama katika ajali hiyo Baada ya miili miwili kupatikana hada jana jioni,…

1 August 2023, 8:11 pm

Mwili mwingine wapatikana waliozama Ziwa Victoria

Mwili mwingine wa muumini wa kanisa la KTMK umepatikana jioni hii na kufanya jumla ya waliopatikana kufika wawili huku vifo vikifikia vitatu kati ya watu 28 waliokuwa kwenye mitubwi iliyozama. Na Adelinus Banenwa Katika zoezi la utafutaji wa miili ya…

31 July 2023, 8:52 pm

Manusura ajali ya mitumbwi Bunda wasimulia hali ilivyokuwa

Vijana walionusurika kwenye ajali ya mitumbwi eneo la Mchigondo Bunda wasimulia hali ilivyokuwa baada ya mitumbwi kuzama na wao walivyonusurika huku wakiokoa watoto watatu. Na Adelinus Banenwa na Edward Lucas Joseph Kundi mkazi wa Bulomba alikuwa ni miongoni mwa wasafiri…