Mazingira FM

Recent posts

22 December 2023, 8:06 am

Bunda yafanikiwa pakubwa 2023

Serikali wilayani Bunda imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutatua changamoto za wananchi katika sekta mbalimbali ikiwa ni kwa upande wa miundombinu, Elimu, Afya na Usuruhishi kwa kipindi cha mwaka 2023. Na Adelinus Banenwa Serikali wilayani Bunda imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutatua…

13 December 2023, 9:32 am

Jukwaa la wadau wa kilimo Bunda, larasimishwa rasmi

Jukwaa la wadau wa kilimo wilaya Bunda linalokutanisha halmashauri ya Bunda mji na Bunda Dc limerasimishwa rasmi kupitia kikao kilichofanyika Dec 8 mwaka 2023 katika ukumbi wa Shaloom mjini Bunda. Na Thomas Masalu Jukwaa la wadau wa kilimo wilaya Bunda…

13 December 2023, 9:17 am

Upatikanaji wa pembejeo ni changamoto kwa wakulima wadogo

Utafiti mdogo uliofanywa na Shirika la Civil Social Protection Foundation (CSP) kwa kushirikiana na shirika la MVIWANYA umebaini kuwa upatikanaji wa pembejeo ni changamoto kwa wakulima wadogo. Na Thomas Masalu Utafiti mdogo uliofanywa na Shirika la Civil Social Protection Foundation…

12 December 2023, 5:06 pm

Bunda DC yamtunuku hati ya pongezi Meneja TARURA Bunda

Baraza la Madiwani Halmashauri ya wilaya ya Bunda limempatia hati ya pongezi Meneja TARURA wilaya ya Bunda Eng Baraka Mkuya. Na Adelinus Banenwa Baraza la Madiwani Halmashauri ya wilaya ya Bunda limempatia hati ya pongezi na fedha shilingi laki tano…

12 December 2023, 4:59 pm

Mahundi achangia tani mbili za saruji zahanati ya Tiringati

Mhe Naibu waziri wa maji Maryprisca Mahundi amechangia tani mbili za saruji katika zahanati ya Kijiji Cha Tiring’ati. Na Adelinus Banenwa Mhe Naibu Waziri wa Maji Maryprisca Mahundi amechangia tani mbili za saruji katika zahanati ya kijiji cha Tiring’ati ikiwa…

12 December 2023, 4:43 pm

Maryprisca: Vitongoji vyote Tiring’ati kupata maji ya ziwa Victoria

Naibu Waziri wa Maji Mhe Maryprisca Mahundi amefanya ziara katika jimbo la Bunda huku akiahidi vitongoji vyote vya kijiji vha Tiring’ati kupatiwa huduma ya maji. Na Adelinus Banenwa Naibu Waziri wa Maji Mhe Maryprisca Mahundi amefanya ziara katika jimbo la…

10 December 2023, 11:58 am

Watoto 1103 wamepata ujauzito ndani ya miezi minne Bunda

Katika kipindi  cha miezi minne ya julay hadi October  2023  watoto  712 kutoka halmashauri  ya wilaya ya Bunda na 391 kutoka  halmashauri ya mji wa Bunda wamepata ujauzito huku watatu kati yao wakiwa na umri chini ya miaka 14. Na…