Mazingira FM

Recent posts

8 January 2024, 8:51 am

Mbunge Maboto atoa vifaa vya milion 28 kwa wanafunzi Bunda mjini

Mbunge wa jimbo la Bunda mjini Mhe Robert Chacha Maboto amekabidhi vifaa vya shule vyenye thamani ya shilingi mil 28 kwa wanafunzi wanaoishi kwenye mazingira magumu wanaotarajia kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu. Na Adelinus Banenwa Mbunge wa jimbo…

8 January 2024, 7:23 am

RC Mtanda awataka Nyatwali kuendelea na shughuli zao

Mkuu wa mkoa wa mara Mhe Said Mohamed Mtanda amewataka wakazi wa Nyatwali kuendelea na shughuli zao za kawaidi huku serikali ikiendelea kufanya ufuatiliaji wa wao kuhama. Na Adelinus anenwa Mkuu wa mkoa wa mara Mhe Said Mohamed Mtanda amewataka…

2 January 2024, 8:55 am

Wawili wapoteza maisha ajali ya gari mkesha wa mwaka mpya Bunda

Watu wawili wamefariki Dunia na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali iliyotokea usiku wa mkesha wa mwaka mpya eneo la Nyasura makumbusho wilayani Bunda. Na Adelinus Banenwa Watu wawili wamefariki Dunia na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali iliyotokea usiku wa mkesha…

1 January 2024, 9:10 pm

Serengeti yaendelea kung’ara hifadhi bora barani Afrika

Hifadhi ya Taifa ya Serengeti imejipanga kuendelea kuboresha huduma mbalimbali ili kuwavutia watalii na kuifanya kuendelea kuwa hifadhi bora ya kwanza barani Afrika. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Kamishna Msaidizi wa Hifadhi Moronda B. Moronda…

27 December 2023, 1:03 pm

Aliyejeruhiwa na mamba Chrismas afariki: Bunda

Mmoja wa majeruhi wa tukio la kushambuliwa na mamba eneo la Mayoro kata ya Nyamihoro amefariki wakati akikibizwa hispitali ya mkoa Na Adelinus Banenwa Mmoja wa majeruhi wa tukio la kushambuliwa na mamba eneo la Mayoro kata ya Nyamihoro amefariki…

27 December 2023, 12:51 pm

Wawili wajeruhiwa na mamba siku ya Chrismas Bunda

Watu wawili wamenusurika kifo baada ya kushambuliwa na mamba siku ya tarehe 25 wakati wakiendele na shughuli zao katika ufukwe wa ziwa Victoria. Na Adelinus Banenwa Watu wawili wamenusurika kifo baada ya kushambuliwa na mamba siku ya tarehe 25 wakati…

27 December 2023, 12:45 pm

Mhe Maboto ataja mafanikio jimbo la Bunda mjini 2023

Mhe Robert Chacha Maboto Mbunge Jimbo la Bunda Mjini amesema Kwa Mwaka huu 2023 amefanikisha miradi mbalimbali kufanyika Kwa upande wa Afya, Elimu, miundombinu pamoja na Maji. Na Adelinus Banenwa Mhe Robert Chacha Maboto Mbunge Jimbo la Bunda Mjini amesema…