Mazingira FM

Je,Jamii inaelewa namna ya kuthibitisha habari za uongo mitandaoni?

29 November 2025, 2:42 pm

Katika mjadala tumechambua nini maana ya habari za uongo ,madhara ya habari za uongo ,huku tukitazama namna jamii inavyoweza kutumia njia mbalimbali kuthibitisha habari ili kuepuka madhara

Na Catherine Msafiri

Hili ndilo swali tulilojadili katika kipindi cha jumamosi kilichowapa nafasi ya kusikika baadhi ya wananchi ambao wameeleza uelewa wao juu ya namna ya kuzibaini habari za uongo mtandaoni,pia amesikika mtaalam wa uthibitishaji habari kutoka shirika la Nukta Africa ,pamoja na maoni ya msikilizaji ya moja kwa moja kupitia simu ya studio.

Katika mjadala huu wa dakika 38 tumechambua nini maana ya habari za uongo ,jamii inaelewa namna ya kubaini habari za uongo? ,huku tukitazama namna jamii inavyoweza kutumia njia mbalimbali kuthibitisha habari ili kuepuka madhara yanayoweza kutokea kwa kusambaa kwa habari za uongo.

Mjadala