6 April 2026, 1:35 pm

RC Mrindoko atoa onyo kwa wanaoleta taharuki

“Naomba nisisitize msiamini katika uvumi” Na Benny Gadau Mkuu wa Mkoa wa Katavi  Mwanamvua Mrindoko amekemea vikali vitendo vya wananchi kujichukulia sheria mkononi na kudhuru wengine kutokana na taarifa zisizo na ukweli, akisisitiza kuwa vitendo vya aina hiyo pamoja na…

On air
Play internet radio

Recent posts

6 November 2026, 2:54 pm

Kampeni ya usafi yaanza kuleta matokeo Mpanda

“tupo katika mpango wa kuongeza magari ili taka zinazozalishwa mtaani ziondolewe kwa wakati“ Na.Betord Chove Kampeni ya usafi wa mazingira imeanza kuleta matokeo chanya, kufuatia kuimarika kwa hali ya usafi katika maeneo mbalimbali ya Manispaa hiyo ikilinganishwa na kipindi cha…

6 November 2026, 2:12 pm

Bei ya mafuta yapaa wananchi walalamikia ugumu wa maisha Mpanda

“tunashindwa hata kwenda vijiji vya jirani kufuata mazao bei ya nauli imekua kubwa hakuna faida“ Na. Leah Kamala Wananchi mkoani Katavi wameiomba serikali kuangalia upya kupanda kwa bei ya mafuta nchini, kutokana na kuongezeka kwa gharama za maisha katika sekta…

6 November 2026, 10:59 am

BBT yawanoa vijana 215 kilimo chenye tija Mwamkulu

“tumeleta hapa Mwamkulu kwasababu kuna skimu kubwa ya umwagiliaji“ Na. Betord Chove Jumla ya wanawake na vijana  215 wanatarajiwa kunufaika na mafunzo ya miezi miwili ya jenga kesho iliyo bora BBT katika kata ya Mwamkulu manispaa ya Mpanda mkoani Katavi.…

4 November 2026, 1:24 pm

Msimu wa kilimo 2026/2027 wazinduliwa Katavi

“Muhimu kufuatilia taarifa zote za hali ya hewa na kuzingatia kanuni bora za kilimo“ Na. Restuta Nyondo Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amezindua rasmi msimu wa kilimo wa mwaka 2026/2027 kwa kuwataka wakulima kutumia elimu, mbinu na teknolojia…

4 November 2026, 12:58 pm

Chanjo za watoto kinga dhidi ya ulemavu unaoepukika

“Tusipuuze chanjo tangu kipindi cha ujauzito hadi mtoto anapofikisha umri wa miaka 2“ Na. Leah Kamala Wazazi na walezi mkoani Katavi wametakiwa kuzingatia ratiba ya chanjo kwa watoto  ili kuwakinga na magonjwa yanayoweza kusababisha ulemavu pamoja na madhara ya kiafya.…

4 November 2026, 12:47 pm

CCM Zanzibar kushirikana na Katavi kubadilishana fursa za kiuchumi

“Chama kiwe na utaratibu wa kufanya ziara hadi ngazi za mitaa ili kuleta mabadiliko“ Na. Ben Gadau Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi kimefanya mkutano na wanachama wa chama hicho katika Wilaya ya Mlele, mkoani Katavi, kwa lengo la…

4 November 2026, 12:35 pm

Mgawanyo sawa wa majukumu msingi wa kujenga familia kiuchumi

“Ili kujenga familia yenye ustawi endelevu ni muhimu kushirikiana na kujenga familia imara“ Na. Leah Kamala Wananchi mkoani Katavi wametakiwa kuzingatia umuhimu wa kugawana majukumu ya familia ili kupunguza mzigo wa kazi na kuimarisha amani, na upendo katika familia. Wakizungumza…

30 October 2026, 1:03 pm

Wahanga wa dawa za kulevya wapewe msaada si kuwanyanyapaa

“vijana wengi wanapata magonjwa kama saratani ya koo na changamoto za afya ya akili kwasababu ya matumizi ya vilevi“ Na. Leah Kamala Wananchi mkoani Katavi wameiomba serikali na wadau wengine kuendelea kutoa elimu juu ya madhara ya matumizi ya dawa…

30 October 2026, 12:50 pm

TAKUKURU yaokoa zaidi ya mil. 500 mikopo ya 10% ya halmashauri

“kuna fedha zimerejeshwa baada ya kufanya ufujaji wa malipo “ Na. Betord Chove Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Katavi imefanikiwa kuokoa zaidi ya shilingi milioni 591.2 katika kipindi cha Aprili hadi Septemba 2026, zikiwemo shilingi…

Kuhusu Mpanda Radio

Umiliki wa redio
Mpanda Radio FM inamilikiwa na kampuni iliyosajiliwa iitwayo Mpanda radio FM Limited na cheti cha usajili namba 78298 na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpanda Radio FM pia imesajiliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania TCRA, Wizara ya Viwanda na biashara; ama tunatambuliwa na Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo Tanzania TCCIA na Mamlaka ya Mapato ya Tanzania kama Mlipa Ushuru, tuna Namba ya Kitambulisho cha Mlipa kodi 115-577-239 na tumepewa nambari ya usajili ya VAT 40-015708 kwa Biashara iliyoko hoteli ya Mpanda, eneo la eneo. nambari G, nambari ya kuzuia 35.

Dira
Kuwa jamii thabiti yenye afya bora, elimu, umoja na maendeleo endelevu, inayotambua wajibu na haki.

Dhamira
Kushirikisha jamii katika kuandaa vipindi, habari na uendeshaji wa redio kwa kuzingatia taaluma. Kuwa jukwaa la mijadala inayochochea mabadiliko chanya ya fikra, usawa wa jinsia, sheria na utawala bora, uwajibikaji, ushindani wa maendeleo, utamaduni na ulinzi wa rasilimali.

Uongozi
Mpanda Radio FM ina mlolongo mzuri wa uongozi na inasimamiwa na Bodi ya wakurugenzi. Tuna wakurugenzi watatu kwa hisa na kuajiriwa; pia tuna uongozi wa uzalishaji na uuzaji.