Mpanda FM
Mpanda FM
12 October 2026, 1:45 pm

“tunajishughulisha lakini wasio na ulemavu wanadhani mda wote tunaomba msaada na sisi tuna uwezo kama wao“
Na Restuta Nyondo
Karibu kusikiliza mjadala ambao unazungumzia nini kifanyike ili watu wenye ulemavu wapate nafasi sawa za kichumi katika jamii mkoaani Katavi.