Mpanda FM

Kutotekelezwa kwa sheria ya misitu kunavyochochea ukataji holela wa misitu Katavi

10 September 2026, 10:53 am

kijiji cha Singililwa kwa wachimbaji wadogo. picha na Restuta Nyondo

“unatoka tu ndani unakutana na fisi ni kama tumeshazoea”

Na Restuta Nyondo

Karibu kusikiliza makala inayoangazia utekelezaji kifungu cha sheria ya misitu 20002 na kifungu cha 81 cha sheria ya usimamizi wa mazingira 2004 kunasababisha ukataji holela wa misitu na kuharibika kwa mapitio ya wanyamapori kutokana na upanuzi wa eneo la uwekezaji KMCL hali iliyosababisha migogoro kati ya binadamu na wanyamapori na uharibifu wa vyanzo vya maji mkoani Katavi.

Wakizungumza na Mpanda radio fm wameeleza namna ambavyo wamekuwa wakipata athari mbalimbali zinatokana na wanyama kufika katika maeneo yao na kuharibu mazao yao.

Makala athari kwa wananchi kutokana na ufyekaji misitu kwenye mgodi