Mpanda FM
Mpanda FM
20 March 2026, 5:55 pm
“Ni vyema kurudisha shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kuyafanya matendo hayo ya huruma “ Na Anna Milanzi- Katavi Waganga wa tiba asili na tiba mbadala mkoa wa Katavi wamefanya matendo ya huruma kwa kuwatembelea watoto yatima na mama mjane anayeuguza…
20 March 2026, 5:37 pm
“Amekutwa amefariki dunia kwa kuchinjwa na kutenganishwa kichwa na kiwiliwili “ Na Ben Gadau -Katavi Mtu mmoja aliyefahamika jina moja la Haidari anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 42 mwalimu wa shule ya msingi Nguvumali amekutwa amefariki dunia kwa kuchinjwa…
11 March 2026, 4:58 pm
“Kila taasisi ipande miti” Na Leah Kamala Wananchi manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameelezea kero mbalimbali zinazowakabili katika maeneo yao, na kumuomba mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko kuzifanyia kazi ili kuboresha maisha yao. Kero hizo ziliwasilishwa na wananchi…
11 March 2026, 4:37 pm
“Ni kosa kisheria kutotoa taarifa pindi bomba la maji linapopasuka” Na Anna Mhina Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Mpanda Hotel uliopo Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameiomba Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (MUWASA) kutoa elimu kwa…
6 March 2026, 6:00 pm
“Msherehekee na kuanzimisha siku ya wanawake duniani” Na Samwel Mbugi Wanawake manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametakiwa kuadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kutambua na kuthamini mchango wa mwanamke katika jamii. Akizungumza mbele ya wanawake katika ukumbi wa manispaa ya…
6 March 2026, 3:34 pm
Katibu mwenenzi akimkabidhi mwalimu kompyuta hizo. Picha na Betord Chove “Walitupatia changamoto nyingi” Na Betord Chove Katibu mwenezi wa chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Nsemulwa wilayani Mpanda mkoani Katavi Geofrey Alfonce Kipeta amekabidhi kompyuta mbili za mezani kwa shule…
5 March 2026, 3:51 pm
“Maelekezo ya serikali ni kupnda miti katika maeneo yetu” Na Samwel Mbugi Jumla ya miti 400 ya matunda na kivuli imepandwa na wanawake katika shule ya msingi Mkapa iliyopo manispaa ya Mpanda mkoa wa Katavi ikiwa ni sehemu ya kuelekea…
5 March 2026, 2:02 pm
“Niwasihi wananchi wa Mpanda waweze kufika ili watatuliwe migogoro ya ardhi” Na John Benjamin Wananchi wilaya ya Mpanda wametakiwa kuchangamkia fursa ya kampeni ya klinki ya Samia iliyolenga kutatua changamoto, migororo na kutoa hati ya ardhi. Hayo yamebainishwa na mkuu…
5 March 2026, 1:47 pm
“Watoto wetu wanateseka” Na Anna Mhina Wananchi wa kitongoji cha Mbogwe kilichopo kijiji na kata ya Kabungu wilayani Tanganyika mkoani Katavi wameiomba serikali kuingilia kati ujenzi wa shule ya msingi ulioanzishwa katika kitongoji hicho. Wakizungumza na Mpanda radio FM wananchi…
4 March 2026, 5:32 pm
“Ameahidi kuendelea kushirikiana kwa pamoja katika katika kuhakikisha chama kinaimarika.“ Na Samwel Mbugi-Katavi Mbunge wa Jimbo la Mpanda mjini Haidary Hemed Sumry amekutana na baraza la umoja wa vijana CCM wilaya ya Mpanda kuwashukuru kutokana na namna wanavyoshiriki kuhakikisha chama…
Umiliki wa redio
Mpanda Radio FM inamilikiwa na kampuni iliyosajiliwa iitwayo Mpanda radio FM Limited na cheti cha usajili namba 78298 na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpanda Radio FM pia imesajiliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania TCRA, Wizara ya Viwanda na biashara; ama tunatambuliwa na Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo Tanzania TCCIA na Mamlaka ya Mapato ya Tanzania kama Mlipa Ushuru, tuna Namba ya Kitambulisho cha Mlipa kodi 115-577-239 na tumepewa nambari ya usajili ya VAT 40-015708 kwa Biashara iliyoko hoteli ya Mpanda, eneo la eneo. nambari G, nambari ya kuzuia 35.
Dira
Kuwa jamii thabiti yenye afya bora, elimu, umoja na maendeleo endelevu, inayotambua wajibu na haki.
Dhamira
Kushirikisha jamii katika kuandaa vipindi, habari na uendeshaji wa redio kwa kuzingatia taaluma. Kuwa jukwaa la mijadala inayochochea mabadiliko chanya ya fikra, usawa wa jinsia, sheria na utawala bora, uwajibikaji, ushindani wa maendeleo, utamaduni na ulinzi wa rasilimali.
Uongozi
Mpanda Radio FM ina mlolongo mzuri wa uongozi na inasimamiwa na Bodi ya wakurugenzi. Tuna wakurugenzi watatu kwa hisa na kuajiriwa; pia tuna uongozi wa uzalishaji na uuzaji.
